Mwana JF, Dr. H. Kigwangala Live Bungeni!

2. Amesikitishwa mradi wa Barabara uliokuwa ukijengwa na Kampuni ya CCCC kusimamishwa.
 
4. Mkoa wa Tabora, unakipenda CCM na umeipa kura nyingi kutokana na ahadi za maji ya ziwa Victoria, akatoa angalizo 2015 sio mbali, CCM itimize ahadi vinginevyo!.
 
Nina wasiwasi kama atagusia hata moja kati ya yale tuliyomshauri agusie. Hajafikisha dk 5? Kagusa hata moja?
 
Naibu spika kamkatisha asizungumzie kutekwa kwa Dr. Ulimboka
kwa kweli liwalo na liwe
 
7. Kuhusu mgomo wa madaktari, amesikitishwa na hatua za serikali kumwagia mafuta ya petroli kwenye mgogoro huo badala ya kutafuta suluhisho la amani!, yeye kama daktari amewaomba madfaktari warudi kwenye meza ya mazungumzo ili wananchi wa Tanzania, wasiendelee kuteseka!.

Alipoanza kuelezwa kusikitishwa kwake na mwenzake na rafiki yake Dr. Stephen Ulimboka, naibu spika akamkatiza, muda umekwisha!
 
Nina wasiwasi kama atagusia hata moja kati ya yale tuliyomshauri agusie. Hajafikisha dk 5? Kagusa hata moja?

yan hata haja gusia kakatiswa lakini sidhani kama alipanga kuongea hili jambo!
 
Back
Top Bottom