Wishing Azikiwe a speedy recovery..... ila nimesikia huko MOI kuna kitengo cha ajali za pikipiki na ukifikishwa huko matibabu ni ya kusuasua sana maana wamechoka na ajali za pikipiki..jamani aliye karibu na huyu ndugu yetu a monitor closely vinginevyo mkono/mguu utaozwa na kukatwa.