Mwana JF ambaye yupo Arusha

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
helooooooo,hope hamjambo kama tunavyojua jamii forum members ni sawa na ndugu, nipo arusha kikazi tangu juzi,kesho naondoka zangu kama kuna Jf member wa kike yupo arusha aniPM leo tukutane jion jion hivi, mimi niko maeneo ya primier palace hapa mujini.
 
helooooooo,hope hamjambo kama tunavyojua jamii forum members ni sawa na ndugu,nipo arusha kikazi tangu juzi,kesho naondoka zangu kama kuna jf member wa kike yupo arusha aniPM leo tukutane jion jion hivi, mimi niko maeneo ya primier palace hapa mujini.
Mkuu mbona unazunguka Mbuyu? Si ungewaambia tu shida yako? Soma hapo kwenye red utanielewa zaidi...teh! teh!
 
Watu mnavituko? Nikahis umeandaa nyama choma festival ya arusha jf members kumbe unataka wa kubanjua? Loooh wengine ni wake za watu mkuu na arusha miguu ya kuku inahusika so chunga sana.
 
pitiaa shivazi mkuu utawakuta wakutosha au njo lala Moshi ujichukulie mmoja hapo malindi au uje kia hapa sunsite utakosa
 
pitiaa shivazi mkuu utawakuta wakutosha au njo lala Moshi ujichukulie mmoja hapo malindi au uje kia hapa sunsite utakosa
Sasa hapo kwenye red ndio umemaanisha "utakosa" au "hutakosa?"

Kosa la herufi moja tu linaweza kuibadili maana nzima ya neno.
 
Salaaaaleeh nimekuja fasta nikajua kwa vile jf wote ni ndugu basi ukiagiza raundi moja ya mwendo~kasi raundi inayofata naagiza mie kumbe vigezo na masharti ni akina waleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom