Mwana FA na picha ya Rais kilele cha mlima Kilimanjaro

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Screenshot_20191003-150343.png
 
Angeenda na sanduku huru la tume ya ushaguzi iliyo huru, huru hasa, kutuma huo ujumbe anaotaka kuutuna.. Harafu tungeona 2020 mwezi wa 11 amgepeanda na picha ya nani?.. Yaani imekuwa nifursa kutumia picha za na-dikteta uchwara.
 
Umeandika kama ni kitu cha ajabu kubeba picha aliyopenda kuibeba!

Kila mtu ana haki kufanya lolote kama havunji sheria.

Unaweza hata wewe kupanda mpaka kileleni halafu ukafunga ndoa hapohapo kileleni lakini ukifanya mapenzi hapo kileleni na mkeo unavunja sheria!

Tunaweza tusikubaliane na alichokifaya lakini tuheshimu uamuzi wake!
 
Angeenda na sanduku huru la tume ya ushaguzi iliyo huru, huru hasa, kutuma huo ujumbe anaotaka kuutuna.. Harafu tungeona 2020 mwezi wa 11 amgepeanda na picha ya nani?.. Yaani imekuwa nifursa kutumia picha za na-dikteta uchwara.
Kama ni fursa kwani tatizo ni nini? Wewe endelea kuita dikteta uchwara wakati wenzako wanachangamkia fursa.

Hukufuatilia Ruge katika Clouds Media alivyokuwa anabainisha fursa!

Wewe unadharau wakati wenzako wanaziona fursa na kuzifanyia kazi!

Kumbuka maisha endelevu na yenye mafanikio hayawezi kupatikana bila kuziona fursa na kuzifanyia kazi!
 
I dont trust what MwanaFA does!

Picha ipo photoshoped!

Just check it clearly!

Picha ya Magu ndio imeng’aa na ipo quality ya HD mengine yote ni dull!

I see fakery tupu hapo!

Halafu ni MwanaFA mpenda sifa kama Jiwe,unategemea nini?

Fakery!

Kama wapo nondo watupe true video tuone!
Naona hata Millard Ayo ameipost.
 
Naona hata Millard Ayo ameipost.

Millard Ayo nae si upo kwenye Online Propaganda Machine ya hii awamu!

Hana credibility pia!

MwanaFA is into fakery too much!

Hiyo Picha is staged mzee!

Watoe video pure tuone!

Unaona hiyo picha ya Magu aliyoishika mkononi?

Hiyo picha haiwezi kua kwenye HD kiasi hicho!

Jiwe handlers na MwanaFA wametuwekea fakery hapo!
 
Hahah hamna noma mzee baba ngoda tusubirie video.

The piture is real. Kuna mwandishi wa TBC1 ameripoti akiwa na mmojawapo wa aliyepanda na hiyo picha.
 
Unamchukia Magufuli still unamfatilia

Pathetic

Back
Top Bottom