Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Ni swala la muda tu Kuna watu watakimbia ID zao humu.
SUBRA HAIVUTI BANGI, HAIGONGI NYAGI...
SUBRA HAIVUTI BANGI, HAIGONGI NYAGI...
Unamchukia Magufuli still unamfatilia
Pathetic
Nimemfuatilia wapi?
Sema nimemtaja!
Kusema nimemfuatilia unaonesha akili yako ilivyojaa umalaya!
Kumtaja mtu ndio kumfuatilia???
Unamchukia Magufuli still unamfatilia
Pathetic
Hujamfatilia? How unashangaa ally choki kubeba picha ya Rais!
Huoni unatatizo?
You should meet a mentor, you are really facing psychological problems
Kwani huko kwenye nyumba za ibada kila siku anatajwa shetani ni kuwa hao waumini wanamfuatilia? Dingi umeishiwa na hoja ama?
Waumini gani watamfuatilia shetani? Watenda dhambi Ndio humfuata shetani
Acha kupotosha
Nimempa kibarua ikulu ni haki yangu kumzungumzia!
Ally Choky yupo kwenye picha za Mt Kilimanjaro?
Millard Ayo nae si upo kwenye Online Propaganda Machine ya hii awamu!
Hana credibility pia!
MwanaFA is into fakery too much!
Hiyo Picha is staged mzee!
Watoe video pure tuone!
Unaona hiyo picha ya Magu aliyoishika mkononi?
Hiyo picha haiwezi kua kwenye HD kiasi hicho!
Jiwe handlers na MwanaFA wametuwekea fakery hapo!
Watanzania wengi wanafiki hawana wanachokiamini
Umewasilisha hoja zetu sote.Angeenda na sanduku huru la tume ya ushaguzi iliyo huru, huru hasa, kutuma huo ujumbe anaotaka kuutuna.. Harafu tungeona 2020 mwezi wa 11 amgepeanda na picha ya nani?.. Yaani imekuwa nifursa kutumia picha za na-dikteta uchwara.
Jiwe ndio shetani fullstop.
You are on to something... Kuna shadow inconsistency...I dont trust what MwanaFA does!
Picha ipo photoshoped!
Just check it clearly!
Picha ya Magu ndio imeng’aa na ipo quality ya HD mengine yote ni dull!
I see fakery tupu hapo!
Halafu ni MwanaFA mpenda sifa kama Jiwe,unategemea nini?
Fakery!
Kama wapo nondo watupe true video tuone!
You are on to something... Kuna shadow inconsistency...
Acha ubishi usio na tija hiyo picha Ni ya kweli
Hongera sana AY Hiyo picha ina maana kubwa sana. Kwa hiyo tu, mtu anaweza kuomba mkopo benki.