Mwana FA, Mabeste na uhaba wa location..

Kwamex

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
378
96
Nikiangalia video za wimbo wa Mwana FA 'unanijua/unanisikia' na wimbo wa Mabeste 'baadaye sana' zote toka B'Hits naona zote 'zimeshutiwa' location moja na ubaya video zote zaidi ya 80% ya matukio ya video yamechukuliwa hapohapo hakukuwa na kuhamahama japo ya Mwana FA ni production ya 'next level' na ya Mabeste ni production ya 'HK Vision' ufanano wa video hizo ni mkubwa....je! tatizo ni uhaba wa location au ndo mambo ya kuibiana idea?
 
Kaka sometime kibongo bongo tunashida ya lack of creativity....producer mmoja anachek video ...afu anasema hii ni bonge mmoja ya location...afu ana copy nakupaste kama kawa...
 
TZ kuna maproducer wa Video za Muziki au kuna waganga njaa tu. Achana nao watakuumiza Kichwa tu.
 
Kaka sometime kibongo bongo tunashida ya lack of creativity....producer mmoja anachek video ...afu anasema hii ni bonge mmoja ya location...afu ana copy nakupaste kama kawa...
Dah! Kiukweli hawaumizi vichwa kabisa halafu utasikia ile video nimetumia milion mbili.
 
Kweli waganga njaa, maana video zao ukiangalia mara ya kwanza huoni cha kukufanya urudie kuiangalia tena.
 
Mwana FA hana masters ya kutengeneza video, masters yake ni ya vitu vingine tofauti. Usimsakame. Its me Kintoki Bitta
Lakini masters yake haijahusishwa hapa, sana hapa ni hao maproducer kuwa wabunifu na kuachiana majukumu inawezekana hata wewe usiwe producer ila ukisikiliza wimbo audio unapata idea nzuri zaidi ya video kuliko wao wanavyodhani kwamba wanajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom