Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

just downloaded..,hakika ni wimbo mzuri saaanaa. Huyu ndo FA , ILA KAMA UNAISHA FASTA HIVI..
G nako, kanogesha nooma saanaa.
 
mwana fa ft g nako - mfalme lyrics
[mwana fa]
look around brother
choir master!
Ghetto gospel (yes!)
keeping the good music alive!

[g nako]
kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
olooh! (mfalmee!)

kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
ikajipa sifa, kaziba nyufa
namwiita ye mfalmeee
mfaaalmeee

[mwana fa]
holla at ya boy!

sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu
hawalalamiki wanamshukuru aliyejuu
siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
mbwembwe za kuomba magari nawaachia son i'm cool
kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye safina
mimi ni kitu cha mungu nafanya alichonituma
kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri
fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
kuna vingi vya kumuomba mungu kabla hujamuomba utajiri
naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona hatari
unapata ulichoandikiwa mungu hakupi kama hataki
hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi
mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
nife nikiwa muumini na everything gon' be i man

[g nako]
kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
olooh! (mfalmee!)

kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
ikajipa sifa, kaziba nyufa
namwiita ye mfalmeee
mfalmeee

kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
ikajipa sifa, kaziba nyufa
namwiita ye mfalmeee
mfalmeee

[mwana fa]
najua anamipango, anafungua milango
ndo anatoa michongo, namwita mfalme wa jungle
boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
mwenye maamuzi ya mwisho angetaka angeniumba fungo
mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskini
haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi
ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi ataenda peponi
achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu na mimi
na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za nani
labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya maanani
usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama buku
na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu

[g nako]
kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
olooh! (mfalmee!)

kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
ikajipa sifa, kaziba nyufa
namwiita ye mfalmeee
mfalmeee

kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
ikajipa sifa, kaziba nyufa
namwiita ye mfalmeee
mfalmeee

kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
olooh! (mfalmee!)

nani katekenya hilo beat.? Producer..!! Lohhhh...
 
Naona Jide kajibiwa kisomi zaidi sana hizo zote falsafa ndio maana anaitwa mwanafalsafa.
Wale mashabiki wa Jide walosema MwanaFa hana hela majibu yenu ni wengi wetu hamna hata laki na mnamwita mwenzenu masikini. Pia Mwanafa anasema sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri kisa show ndio kanuna hii yote roho mbaya jide big up Fa Mfalme watajifunza tu.

nimerespect mashairi ya FA ila umeniudhi mnoo baada ya kusoma koment yako
kumuingiza kamanda Jide ktk mashairi haya, umeniudhi sana aisee!!!
 
kwa taharifa yako FA ndio msanii mwenye roho mbaya kuliko wasanii wote nchi hii,alafu akawa na rafiki ana roho nzuri kinoma AY,sijui ata wanawezanaje....ila hii ngoma ya mfalme ni kali sana ata Ivo

washukuru kwa kuliona hilo mkuu, hayo ni mawazo tu..lkn tabia ya mtu itabaki palepale...huyu FA anaonekana mbinafsi sana!
 
Mwana FA nilimkubali sana tangu ingekuwa vp hadi Msiache kuongea baada ya kuanza mambo ya kishenzi nikamtupa kwenye dustin bin ila kwa ngoma hii nimekubali tena,ushauri mwingine huyo Fa akipiga nyimbo na Ay haziwi bomba sema zinapata tu promo ila ni mbaya bora aendelee kufanya yeye kama yeye check binamu,mabinti,mfalme,msiache kuongea ila hizi sijui kukunja goti yani full cr.aps
 
Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...[/QUOTE]
Ye mwenyewe na mabinti dam dam atashindwaje kuwataja wenzake?
 
Na mimi nina tatizo na hilo, nasikitika sana uovu na ubaya ukilinganishwa na wanawake.

yani karibia nyimbo zote za FA ukisikia lazima ukute verse la kuwadis wanawake as if they are only evil in this world.
 
Narehel na Marco ----ing CHALI(As FA calls him)

Hata wakimnyima tuzo but honestly Marco ni Mkali na hata nyimbo za wakongwe ukiona producer mwingine but lazima mixing ukute kafanya Marco...
I appreciate this dude.
 
Mwana FA nilimkubali sana tangu ingekuwa vp hadi Msiache kuongea baada ya kuanza mambo ya kishenzi nikamtupa kwenye dustin bin ila kwa ngoma hii nimekubali tena,ushauri mwingine huyo Fa akipiga nyimbo na Ay haziwi bomba sema zinapata tu promo ila ni mbaya bora aendelee kufanya yeye kama yeye check binamu,mabinti,mfalme,msiache kuongea ila hizi sijui kukunja goti yani full cr.aps

AY hajui kuimba promo ndo anaiweza ila hana nyimbo nzuri kama FA na hakuna ngoma ya FA ambayo ni mbaya, japo anaendekeza beef na watoto wakike ila still FA anaweza sio kama wengine wa promo.
 
kwa taharifa yako FA ndio msanii mwenye roho mbaya kuliko wasanii wote nchi hii,alafu akawa na rafiki ana roho nzuri kinoma AY,sijui ata wanawezanaje....ila hii ngoma ya mfalme ni kali sana ata Ivo

Wanao sema wenzao rudi nyuma angalia Maisha yao-FA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom