usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,901
- 13,870
Aiaeee daaah!! JideMsiache kuongea daaahh
Aliimba kwakweli
Aiaeee daaah!! JideMsiache kuongea daaahh
Cluods hao.walivyoona jide ana shoo.na wao wakamtafuta FA.wakamwekea shoo,tena siku mojaTeam na matamasha ndizo zilitenganisha muungano huu...
Mara Team Anaconda,huku nako Team MwanaFatuma ilimradi tafrani tu...
Mkuu kama uko na hii
Song uiweke hapa au
Link kama uko nayo
Kuna kipindi enzi zile niliukariri wote wadau ila kwa sasa kuna mistari imenitokaSitoamka
Verse 1
Toka uzazi wa adamu,
narithi yake damu
maungo yangu yanatimu
Naiacha mbingu nashuka duniani na naianza yangu zamu
Nakua mdhaifu mwenye macho ya upofu.
nilietoswa ndani ya maji yenye kina kirefu
Mionzi mikali toka angani kwa mtukuka
Jua kali linawaka n
Ataponiita mols muuumba sitoweza mimi kuinuuukaa..."Siku machoo nikiyafuumba kamwe mimi SITOAMKAA"