Mwamvita Makamba aula

Labda atakua ni godfather wake!!!

bila kuiondoa CCM madarakani watoto wamasikini tutabaki kuwa wamasikini tu kazi zote serikalini Uwazili, katibu wa wizara uku wa mkoa uku wa wilaya wamepeana wao na wanapokezana kama wafalme wanavyofanya. hata katika mashirika makubwa wamejaa wao tu nenda vodacom utalli, etcetc utajionea mambo
 
Haka kademu kasanii sana kana urafiki na vigogo kibao mpaka rostam azizi fisadi naona kamempa boss moja wa voda ndo maana kakapewa hiyo deal.
 
me too wanna tell of the same to you and him or her of the what you see and of very his poor english! why talk the wrong of what you not sure of the spelling? why? be careful and not write dully! bad bad.

Hahahahahahahaaaaaaaaa! Bad bad!
 
Good for her, regardless amejitahidi kwa kweli.
 
Hivi alienda kwa Waziri Mkuu kama kada wa CCM, kiongozi wa serikali au kwa vile ni binti wa Makamba?

Si jambo la ajabu, wewe na mimi Pinda ni Waziri Mkuu ila yeye aweza kuwa jirani yake tena kwa heshima na ukaribu si ajabu anamwita Bamdogo Pinda.
 

mwamvita kwa upande wangu kanisaidia kugundua mafaili mengi yanakaliwa na wakubwa na hivyo hayatembei ona hapo mezani noma pamechafuka madokezo
 
endeleeni kupiga domo hapo...
mwenzenu ndo anapepea ivo...
fait na ww kivyako!
 

Ameolewa huyu nimpe NUSRA? Mtoto wa kiislam huyu ati!
 

Alikuwa Asha Rose Migilo karudi sembuse yeye? Nothing more hiyo ni kwa manufaa yake yeye mwenyewe na familia yake. She is nothing to Tanzania yeye ni kama watanzania wengine ambao wanatafuta maisha huko ng'ambo. Kwa muda wote huo alikuwa Vodacom what so special alichofanya kwa manufaa ya watanzania?
 
endeleeni kupiga domo hapo...
mwenzenu ndo anapepea ivo...
fait na ww kivyako!


Kaka hakuna cha maana zaidi maana hata Mama yetu Migilo naye karudi kama alivyoenda. Na mlolongo ndo huo, kwani ukienda kufanya kazi africa kusini lazima watu wajue. Watu wanafanya kazi marekani, uswiswi, norway, netherland, sembuse south africa? Huyu mie sioni hasa ananini si bora hata wema sepetu mwigizaji na aliwahi kuwa miss tz. Watu wanamvimbisha kichwa bure tu
 
Jamani kaenda kumwaga ANKO PINDA. Anko yuko bize sana ndio akaamua kwenda ofisini. Picha kapiga sijui ili iweje sasa, hapo ndipo sina jibu! Labda ukumbusho!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…