me too wanna tell of the same to you and him or her of the what you see and of very his poor english! why talk the wrong of what you not sure of the spelling? why? be careful and not write dully! bad bad.
Nyie ndio wapinga maendeleo msiopenda wengine wafaulu.Sasa kama akiogopa kukosea atajifunza lini????Muelekeze vizuri na kum-Encourage aendelee kujifunza hata kama anaandika broken.......Watanzania tubadilike.Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
[/QUOT
Mwamvita alipokwenda kumuaga Waziri Mkuu Mh. Pinda ofisini kwake wiki iliyopita....
"Friends,
On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally.
Thanks to all of you for the support and encouragement as I went about my daily activities here.
I will continue to keep in touch and keep sharing my various adventures whenever I go and get stories worth sharing with you.
Remember, no matter who you are or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage.
Love,
Mwamvita"
Ona mtoto wa mkulima alivyo social! Anapenda watu, rika zote
me too wanna tell of the same to you and him or her of the what you see and of very his poor english! why talk the wrong of what you not sure of the spelling? why? be careful and not write dully! bad bad.
CCM iliewa shares na ANC kama asante kwa kui-suport ANC kuanzia mwanzo. Share zilizokuwa zinazagaa kwa wahuni wahuni akina Mengi and there after Rostam na wengine, ni share za CCM.kwa hiyo kaenda kwa waziri kufanya nini?
KUna meza nyingine upande wake wa kulia ambayo haionekani, hiyo ndiyo ina kompyuta lakini sina uhakika kama anaitumia.. Hongera zake. Hivi PM hawezi kuwa na kompyuta hapo mezani, akajua hata dunia inavyokwenda? Au wasaidizi wanamwambia kila kitu! Naamini kiongozi wa leo, inabid awe karibu na wananchi wake wa mtandaoni, ambao ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kubadili mstakabali wa nchi.
Wewe ulitaka aandikeje? Onesha mfano nasi tujifunze sio kukosoa tu!
Km mjuavyo hii nchi mtoto wa rais naye ni rais. Only in tz
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.
Labda atakua ni godfather wake!!!
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....
Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
alikuwa anataka uandike hivi: dulyAsante kaka kwa kunirekebisha, lakini ingependeza zaidi kama ungemaliza kwa kuandika neno sahihi ambalo nilipaswa kuliandika.