Mwamvita Makamba aula

Mwamvita Makamba aula

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149

Mwamvita alipokwenda kumuaga Waziri Mkuu Mh. Pinda ofisini kwake wiki iliyopita....

"Friends,

On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally.

Thanks to all of you for the support and encouragement as I went about my daily activities here.

I will continue to keep in touch and keep sharing my various adventures whenever I go and get stories worth sharing with you.
Remember, no matter who you are or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage.

Love,
Mwamvita"
 
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.
 
Du atakua analipwa kama expert au specialist ni mwendo wa more than 20,000$ per month hongeraaaa!
 
Mwamvita ana cheo gani serikalini mpaka amuage waziri mkuu ofisini?wana jf naomba mnieleweshe

We nawe!!!! ni mtanzania anamuaga waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
 
Wajua kwa PM kuna vitengo vyingi ambavyo vina deal na Corp Affairs za Makampuni mengi...kwa hiyo lazima aage maana huyo dada nadhani ni Contact Person kwenye masuala mengi kati ya Vodacom na Serikali!ni mtazamo wangu ambao sio lazima uukubali!!
 
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.

Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....

Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
 
Wewe ulitaka aandikeje? Onesha mfano nasi tujifunze sio kukosoa tu!
 
Wazungu wajanja sana ,ndo wanamuondoa Voda hivyo!nyie subirini tu ata miaka mitatu aitofika,wanamterminate wanamrudisha Bongo kazi kwisha,hapo ni sawa sawa na upo mabwe pande alafu askari mwenye SMG anakuambia haya kimbia nimekuachia nenda,kuna sehemu mtu alikuwa promoted kama hivi,lakini baada ya mwaka na nusu arirudishwa Bongo na kazi akurudishwa.
 
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....

Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
me too wanna tell of the same to you and him or her of the what you see and of very his poor english! why talk the wrong of what you not sure of the spelling? why? be careful and not write dully! bad bad.
 
Wazungu wajanja sana ,ndo wanamuondoa Voda hivyo!nyie subirini tu ata miaka mitatu aitofika,wanamterminate wanamrudisha Bongo kazi kwisha,hapo ni sawa sawa na upo mabwe pande alafu askari mwenye SMG anakuambia haya kimbia nimekuachia nenda,kuna sehemu mtu alikuwa promoted kama hivi,lakini baada ya mwaka na nusu arirudishwa Bongo na kazi akurudishwa.

Yaelekea wajua mengi kuhusu hili mwaga mboga ...
 
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....

Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...

Asante kaka kwa kunirekebisha, lakini ingependeza zaidi kama ungemaliza kwa kuandika neno sahihi ambalo nilipaswa kuliandika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom