R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 53,044 Reaction score 104,559 Sunday at 8:22 PM #1 Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa Attachments IMG-20261108-WA0041.jpg 155 KB · Views: 4
Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 3,015 Reaction score 5,720 Sunday at 8:24 PM #2 Ayayaaaaaa......!!! Mtawatambua kwa matunda yao.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,631 Reaction score 30,259 Monday at 5:38 AM #3 Retired said: Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa Click to expand... Huu ni utapeli sawa na wale wa karatatatu, kwanini yeye hakamatwi?
Retired said: Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa Click to expand... Huu ni utapeli sawa na wale wa karatatatu, kwanini yeye hakamatwi?
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,790 Reaction score 5,800 Monday at 7:52 AM #4 Hismastersvoice said: Huu ni utapeli sawa na wale wa karatatatu, kwanini yeye hakamatwi? Click to expand... Huyo ni li ccm, matapeli wenzie wanamlinda!
Hismastersvoice said: Huu ni utapeli sawa na wale wa karatatatu, kwanini yeye hakamatwi? Click to expand... Huyo ni li ccm, matapeli wenzie wanamlinda!
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,380 Reaction score 9,607 Monday at 9:57 AM #5 Jamaa anachukua sadaka kwa maskini kikatili sana
M mdogoee JF-Expert Member Joined Mar 2, 2026 Posts 4,333 Reaction score 6,038 Tuesday at 7:17 AM #6 Mwananchi masikini ndio mwenye kubega mizigo mikubwa ya wajanja wa mijini !! Attachments 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg 20.3 KB · Views: 3
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 6,072 Reaction score 8,941 Tuesday at 8:18 AM #7 mdogoee said: Mwananchi masikini ndio mwenye kubega mizigo mikubwa ya wajanja wa mijini !! Click to expand... Kwani ni kipofu unatumia cm ya nukta nundu?
mdogoee said: Mwananchi masikini ndio mwenye kubega mizigo mikubwa ya wajanja wa mijini !! Click to expand... Kwani ni kipofu unatumia cm ya nukta nundu?