jamaa akikohoa sahivi zinamwagika mashuka mekundu, maisha safi kabisaAnawararua sana watu 😄 huko
Ova
🙌🙌🤣Nani katoka karibu, toa mfano..
Milioni 100 per day ...dah...ndio mana royal family they can kill and shed blood for this country to be in their handssa ivi anakunja tax-free 100m kwa siku, wajinga hawaishi
hapo ni day one@DSM, akitokea KYELA-MbeyaJe, tuseme dini ni moja ya biashara nzuri. Pichani ni Mpaka mafuta wa Bwana Mwamposa kabla hajajipata.
View attachment 3396642
Ogopa sana watu wenye vibegi mgongoni, dakika 0 tu unaweza jikuta unalia.Je, tuseme dini ni moja ya biashara nzuri. Pichani ni Mpaka mafuta wa Bwana Mwamposa kabla hajajipata.
View attachment 3396642
Na makazi Yako yawe kijijini vichakani kabisaBiashara ya imani inalipa
Iwe kanosa au uganga huwezi kukosa milioni kwa wiki
Hapana mkuuNa makazi Yako yawe kijijini vichakani kabisa
Sitosahau familia tulivyompa mganga laki4 na mbuzi juu Ili mdogo wangu atibiwe.
Sema haya mambo unakuta umezinguka hospital zote na Bado hakuna nafuu unajikuta unajaribu Kila unachoambiwa hatari sana