Mimi nakubaliana na wewe bwana Mohamed Mtoi inawezekana hata taratibu zikapindwa wakati fulani pale ambapo kuna dharura. Inawezekana huo mkopo aliuchukua kwa ajili ya matibabu, mazishi, au dharura nyingine za kibinaadamu.
kwa hiyo hoja za msingi ni:
1) Lengo la huo mkopo ni lipi kwa sababu chama hakiwezi kutoa mkopo kwa ajili ya kwenda kuoa!
2) Qualification criteria za hiyo mikopo ni ipi ili na wanachama wengine waende kukopa
3) Kukopa kama utaratibu umefuatwa sio ufisadi lakini ukiukwaji wa taratibu katika mambo ya fedha kama haya ndio hupelekea ufisadi kutokea.
deal limebuma huna pakushika masalia wameanguka puuMimi nakubaliana na wewe bwana Mohamed Mtoi inawezekana hata taratibu zikapindwa wakati fulani pale ambapo kuna dharura. Inawezekana huo mkopo aliuchukua kwa ajili ya matibabu, mazishi, au dharura nyingine za kibinaadamu.
kwa hiyo hoja za msingi ni:
1) Lengo la huo mkopo ni lipi kwa sababu chama hakiwezi kutoa mkopo kwa ajili ya kwenda kuoa!
2) Qualification criteria za hiyo mikopo ni ipi ili na wanachama wengine waende kukopa
3) Kukopa kama utaratibu umefuatwa sio ufisadi lakini ukiukwaji wa taratibu katika mambo ya fedha kama haya ndio hupelekea ufisadi kutokea.
Kalaniwa huyu kijana! Nadhani CCM watawauwa vijana wote waliowatuma na kushindwa kazi ili kuficha siri, isije siku moja wakaanza tena kuropoka walivyotumwa. Maana mi sioni hoja. Mimi kunakipindi nilikuwa nafanya kazi kampuni binafsi tulikuwa tunakopeshwa kama motivation ya kuendelea kufanya kazi kwenye kampuni na nilichukua mil 12, nikamaliza kulipa nikaongeza tena mil 8 kumalizia kujenga nyumba yangu, sembuse huyu Dr Slaa. Hoja zake huyu kijana zimejaa majungu na ninadhani wazee wa mtandao wa CCM watawamaliza wapumzike mapema.
Hapa ishu sio masalia wala nini. CHADEMA inapaswa kutoa majibu ya kisomi kama tunavyoamini kuwa ni chama makini.
Kuna wale ambao wamekuwa mahiri ku quote vifungu vya katiba kama akina Ben Saanane, Shardcole na Molemo. Hebu saidieni umma ni utaratibu upi wa CDM unaruhusu kukopa ndani ya CHADEMA?
Ikigundulika kama taratibu zilifuatwa, hapatokuwa na isuue na hawa wanaoitwa masalia watapuuzwa. Kushindwa kufanya hivyo, ni kuthibitisha kwamba huo ni ufisadi kama ulivyo ufisadi mwingine.
Bahati mbaya sana kwa kijana kama huyu kukubali kutumiwa, na sasa siasa itamshinda mapema. Kila mtu anafahamu CDM inatafutwa kila dakika na wanaotumiwa ni wale waliondani ya CDM ambao njaa zinawasumbua kama huyu kijana. Lakini kila mnapogundulika ndo hivyo tena mnafukuzwa na kazi yenu ndiyo imeisha!
CDM ni chama kilichosajiriwa kihalali kwa mujibu wa katiba ya Tanzania inayosimamiwa na serikali ya CCM. Mahesabu yote ya vyama vyenye usajiri, lazima yawe audited. Kama kuna ubadhirifu au matumizi yasiyoidhinishwa kwa mujibu wa sheria, wahusika lazima wachukuliwe hatua za kisheria. Sasa tuhumu zilizotolewa na huyo kijana, kama zina ukweli ndani yake, naunga mkono hoja ya Mh Mnyika "JK ni Dhaifuna serikali yake pia ni Dhaifu" sababu wahusika bado wapo nje.Mwampamba kweli wewe ni kijana makini majibu yako ni kisu kwa Dr Slaa na wafuasi wake wote.
Mwampamba kweli wewe ni kijana makini majibu yako ni kisu kwa Dr Slaa na wafuasi wake wote.
Mwampamba kweli wewe ni kijana makini majibu yako ni kisu kwa Dr Slaa na wafuasi wake wote.
Huu ni ukosefu wa shukrani,hekima,adabu na staha.Kijana kama Mwampamba anawezaje kumwita Dr.Slaa 'mzinifu'? Semeni hoja za kujenga jamani...si majungu na matusi tu
ww ni mwanachama wa CDM? Kama sio achana na issue za hao masalia mliowatuma . Mjadili kuhusu baba wa Nepi ni nani? kama mnataka siasa za maji taka sio ruzuku ya CDM.
wakuu kwani kuna ibara au kanuni yoyotte ndani ya katiba ya chadema inayozuia kiongozi kukopa ndani ya chama?kama hamna sheria yenya kuruhusu au kuzuia kionmgozi kukopa ndani ya chama inaimaana basi dr hakuvunja sheria .kama hamna sheria ya kuzuia kukopa dr amevunjaje sheria ambayo haipo?hawa vijana njaa zao sasa zimezidi bana.hawana hata aibu kujaribu kulumbana na level ya juu kama dr slaa?ndo maana slaa anawaita sisiminzi
​Amekopa kwa sababu ni mwajiriwa wa CHADEMA!Tatizo siyo kumsikiliza Mwampamba tatizo kwa nini Dr Slaa akope pesa za ruzuku katibu ya Chadema inasemaje.
​Amekopa kwa sababu ni mwajiriwa wa CHADEMA!Tatizo siyo kumsikiliza Mwampamba tatizo kwa nini Dr Slaa akope pesa za ruzuku katibu ya Chadema inasemaje.