Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Nami bado nalikumbuka busu lako......... we mtoto mtamu jamani, nashangaa eti watu wanataka kunipora.
![]()
Usinikumbushe hii makitu aiseee, unataka niharibu mambo hapa!
Nami bado nalikumbuka busu lako......... we mtoto mtamu jamani, nashangaa eti watu wanataka kunipora.
![]()
Utaharibuje wakati mi nipo? Hebu kam zis way bana. Mi nataka!!Usinikumbushe hii makitu aiseee, unataka niharibu mambo hapa!
ndo maana naniliu alikumwaga loh....
Alinimwaga au mimi ndio nilimwaga?
ulimmwaga nani?? shindwaaaaaaaa! ukweli tunaujua mi na wewe! ulinimwaga kimaandishi jf, nilikumwaga moyoni loooooonnnnggg tym! lolAlinimwaga au mimi ndio nilimwaga?
mke mwenzangu upo pande hii?? unaniteteaje sasa?? lol!hahahah ulimwagwa na kumiminwa loh.....
mwahhhhhh! loli can't wait..................loh!!!
ulimmwaga nani?? shindwaaaaaaaa! ukweli tunaujua mi na wewe! ulinimwaga kimaandishi jf, nilikumwaga moyoni loooooonnnnggg tym! lol