Mwamfahamu mtu huyu...???

he he he he ulitaka nibaki na chakula halafu??? we umeona mtu analiwa halafu nikae naye, aku mie! nimejiendea zangu kwa babu, ananipaje vitu sasa?? napahawaje sasa?? Asprin wangu mi luv u! mwahhhhh!
Hahahaha ungeliwaje kiboga sasa? LOL hebu come this way darling... kuna kitu specho nataka nikugee sirini.
 
Hahahaaa nimeipenda hiyo,haina haja ya kuita watu sisi WANNE tu toshaaaaaa.

Miss u more mke mwee..... Asprin alinikunja jumapili(ana style mpya) mpaka nikashindwa kwenda job jana looh!

Nami bado nalikumbuka busu lako......... we mtoto mtamu jamani, nashangaa eti watu wanataka kunipora.

attachment.php
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom