Mwambieni Rais Samia Suluhu Hassan

Ni Kweli JPM alikua Mwamba sana
Ila kuna watu walitumia upenyo huo kuumiza watu ndio hao akina Makonda....Sabaya wakina Malongo
 
Samia ndie Raisi Mtanzania asilia hata kwa tabia ya upole na kiswahili fasaha tulitawaliwa na jinamizi la Kihutu ambalo kiswahili pia lilikuwa halijui.
Ni vizuri mkienda kwa ground msikie maoni ya wengi wanasemaje !!
 
Hakuna mazishi yaliyoshirikisha Watz wengi kama yale. Hatua ya mwisho inatakiwa iwe private watu, wachache familia kujiachia kuombeleza bila camera, video.
Mbona Ntwara kwa Nkapa haikutakiwa iwe private kwa familia tu?
 
Wewe acha maneno mengi. Acha Rais adunge sindano ikiuma tulia
 
JAMANI IFIKE MAHALA MAMBO YALIYOPITA HASA KUHUSU MAREHEMU PANDE ZOTE MUYAACHE TUANZE MAPYA,YANI IMEKUWA KAMA WATU WANAMFANYA MAREHEMU YU HAI NA WANATAKA KULINGANISHA NA ALIYE HAI.NASHAURI PANDE ZOTE KUTULIA KUANZA UPYA.
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Magufuli halinganishwi na yeyote yule nchii hizi za Africa. Magu the Great
 
Tatizo ni CCM.
 
Umenena kweli ! Lakini pia tuendelee kupongeza panapostahili na wavumilie kukosolewa pale wanapokosea !! Isiwe MTU anapokosoa anaonekana ni adui na kuanza kutumiwa watu wa kumdhuru au kumnyanyasa !! Wengine hatuna vyama Bali tumezaliwa tukiwa na mioyo isiopenda kuona dhulma ikitendeka Nchini na duniani kote !! Maana yake ni kwamba tukiiona hiyo dhulma au mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima tutasema tu !! Tuvumiliane tutafika tu !!!
 
Tatizo la nchi yetu ni mifumo mibovu
 
Ni vizuri mkienda kwa ground msikie maoni ya wengi wanasemaje !!
Wengi wamelewa propaganda za Polepole kuwa Punguwani alikuwa anawapenda Wamachinga, wakati alikuwa anawahadaa tu angekuwa anawapenda angeliambia Bunge lake ambalo lilishakuwa Rubber stamp kutunga sheria itayofanya Wamachinga wafanye biashara popote pale.
 
Sasa hapo ndipo pa kujikita katika kutafuta solution ya Hao walioleweshwa propaganda ili waondokane na hiyo propaganda ambayo walikuwa wanafaidika nayo !! Sio kwa maneno ya kumlaumu MTU yeyote Bali iwe kwa vitendo !! Waone kwamba angalau sasa wamepata mbadala wa yale mabaya waliyoaminishwa na wanafaidika na huo mbadala !!
 
Propaganda za CCM tokea zamani ni kuwaaminisha watu kuwa iko siku watawanyang'anya walionacho na kuwapa wasionacho.

Sasa Mwendazake pia alikuwa akiwahadaa kwa hili huwezi ukashinda mchana kutwa,unacheza bao halafu uje ukabiziwe mali za Mo enterprise.

Halafu pia kumbuka Samia amezungukwa na Mafisi.
 

Hakuwa malaika, mtakatifu. Alikuwa na mapungufu yake kama wewe, mimi na binadamu yoyote.

Kwa sasa demokrasia imeimarika? watu hawaishi kwa hofu, utekaji hautokei, wizi wa kura hautatokea, panya road, ugumu wa maisha, ajira, mfumuko wa bei, wauza unga, usalama binafsi, ufisadi, mikopo na uwiano wa hovyo ZNZ and Tanganyika upo kwenye hali gani?
 
JAMANI IFIKE MAHALA MAMBO YALIYOPITA HASA KUHUSU MAREHEMU PANDE ZOTE MUYAACHE TUANZE MAPYA,YANI IMEKUWA KAMA WATU WANAMFANYA MAREHEMU YU HAI NA WANATAKA KULINGANISHA NA ALIYE HAI.NASHAURI PANDE ZOTE KUTULIA KUANZA UPYA.

Walio hai wangefanya vizuri zaidi ya marehemu kila nyanja. Matokeo yao yangewasemea. Wangeungwa mkono na wengi.

Agenda yao kuu ni kumchafua marehemu angalia maneno walioanzisha kama Sukuma Gang, Mwendazake hali umeme, kilimo mbolea, ajira, biashara(machinga), nidhamu, serikalini, mfumuko wa bei, usalama.

Ni kutokana na kushindwa kufanya kazi zao, kutimiza majukumu yao, wameelekeza nguvu zao kwenye propoganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…