Desteo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 494
- 123
Alianza na ule wimbo wake wa mdogo mdogo. Ila tangu na hapo nilijua kwa kuwa huyu jamaa ni mwanamuziki ipo siku ataweka sawa mambo yake. Ndio akaanza na mdogo mdogo. Sasa kaja na huu wa mkungu wa ndizi. Raha/uzuri wa wimbo kama huu hauchoki kuusikiliza kwa kuwa si rahisi kuuelewa kwa mara moja. Wimbo unaochokwa mapema ni ule unaokuwa rahisi kuufuatilia pamoja na kujua kumeimbwa nini. Sasa hawa jamaa pamoja na mnyama TID wamekuja vizuri sana. Mwambieni ni siku ya tatu sasa naupiga wimbo huu mfululizo kwenye kompyuta yangu ofisini, ila kuna kinachonikera...
Kujiita shetani. I wish kama wangerudi studio na wakabadilisha hapo tu.
mapenzi majani huota popote
Naweka nadhiri kukupenda bebi.
Kujiita shetani. I wish kama wangerudi studio na wakabadilisha hapo tu.
mapenzi majani huota popote
Naweka nadhiri kukupenda bebi.