Mwambieni Mh, Jenister Muhagama na Abdallah Possy

Reginald Mengi, kila siku unajifanya kulia lia una uchungu unafanya mzalendo kumbe kampuni yako inafanya ushenzi huu kwa Watanzania siku ukipewa kitalu cha gesi itakuwaje.

We jamaa ni kilaza sana, sasa hapo mengi anahusika vipi? Hao siyo wafanyakazi wa coca cola, ni wafanyakazi wa hiyo kampuni inayoitwa chaguo

Mda mwingine ni bora kukaa kimya kuficha ujinga wako
 
Usiwe punguani wewe hivi mmiliki wa kampuni unataka kuniambia hajui mfumo wa kuwalipa wafanyakazi wake?

Hiyo kampuni inayolalamikiwa imeletwa na Coca Cola.

Nyie viumbe wa ajabu sana unajitia upofu kwa sababu unampenda Mengi.
 
Hivi huyo mnayemtaja ni mmiliki pekee au ana share? Maana kuna watu wana chuki binafsi
 
atupishe ku*.. ma huyu. anajifanya mzalendo kumbe ma..vi tu. nakuchukia mengi na TV yako . hivi unajisikiaje kuwanyonya waTAnzania wenzako? unaona raha kula bata naa K lyn huku mzawa mwenzako anaokota makombo kama Lazaro chini ya meza yako?
 
Duuuh Mengi kumbe ni mnnyonyaji hivyo hii ni hatari sana..Huyu ni mmzawa anaawanyia hivyo watanzania wenzake
.. Ni aibu
 
Kijana utaratibu huu ni zao la mfumo Wa uchumi wa kibepari, unatumika na umekubalika sehemu nyingi dunani. Ni njia moja wapo inayotumika na waajiri kupambana na migogoro na madai ya wafanyakazi.
Siasa ya Ujamaa ilizlisha wafanyakazi waliokua wanadai sana haki lakini hawatimizi wajibu wao. wanalipwa hata bila kuzalisha. kazi ya kufanywa na mtu mmoja wanaajiliwa 10. matumizi yanakuwa makubwa pasipo uzalishaji Wa tija.

Mtindo huu umeokoa pesa nyingi serikalini zilizokuwa zikiibiwa kwa wahudumu na manunuzi hewa. Haiwaajili tena wafanya usafi wame - lease kampuni, wapishi majeshini ni kampuni
inalipwa waajiliwa wanakula kwa kuponi.
Sawa utaratibu huu upo sehemu nyingi. Sawa wewe pia ulifanyaga kwenye kampuni Fulani.Lakini mkuu hapa Cocacola ni tofauti. Kwanza sisi hapa hatukuwahi kuletwa na hizi kampuni. Hata hao ero link wao ndo walitukuta hapa na hadi wameondoka sisi tupo. Hata hii Chaguo iliyopo sasa hivi ilitukuta na hakijabadirika kitu isipokuwa wao tu ndo wanabadilika. Kiongozi Fulani kaja juzi tu sasa hivi ana gari.

Je hata huko nchi nyingine watu wananyonywa kama sisi hapa. Je nao hawana bima. Je nao hawapewi chakula. Je nao likizo hawapewi hata senti. Je nao vifaa vya kufanyia kazi wanapewa kwa mbinde mno. Je nao wanapewa fedha kiduchu tofauti kabisa na iliyotoka kwenye mfuko wa kampuni husika. Je nao hawawapi overtime wafanyakazi wao. Yapo mengi sana mkuu.

#Hapa kazi tu# sawa, lakini ujanja ujanja wa baadhi ya kampuni unatuumiza mno vijana.
 
Usiwe punguani wewe hivi mmiliki wa kampuni unataka kuniambia hajui mfumo wa kuwalipa wafanyakazi wake?

Hiyo kampuni inayolalamikiwa imeletwa na Coca Cola.

Nyie viumbe wa ajabu sana unajitia upofu kwa sababu unampenda Mengi.

Mengi ni mmiliki wa Bonite, kwanza bottlers inamilikiwa na wahindi.
 
Sawa utaratibu huu upo sehemu nyingi. Sawa wewe pia ulifanyaga kwenye kampuni Fulani.Lakini mkuu hapa Cocacola ni tofauti. Kwanza sisi hapa hatukuwahi kuletwa na hizi kampuni. Hata hao ero link wao ndo walitukuta hapa na hadi wameondoka sisi tupo. Hata hii Chaguo iliyopo sasa hivi ilitukuta na hakijabadirika kitu isipokuwa wao tu ndo wanabadilika. Kiongozi Fulani kaja juzi tu sasa hivi ana gari.

Je hata huko nchi nyingine watu wananyonywa kama sisi hapa. Je nao hawana bima. Je nao hawapewi chakula. Je nao likizo hawapewi hata senti. Je nao vifaa vya kufanyia kazi wanapewa kwa mbinde mno. Je nao wanapewa fedha kiduchu tofauti kabisa na iliyotoka kwenye mfuko wa kampuni husika. Je nao hawawapi overtime wafanyakazi wao. Yapo mengi sana mkuu.

#Hapa kazi tu# sawa, lakini ujanja ujanja wa baadhi ya kampuni unatuumiza mno vijana.

Sema usemavyo lakini tambua wewe sio muajiliwa wa Cocacola Company. Haijalishi kampuni ilikukuta au la maana yake ajira yako Cocacola ilikoma mara alipoingia huyo agent. Tena inawezekana huyo agent ya moja wa madirector wa cocacola ni mbinu imetumika ili kuhalalisha niliyotema mwanzoni. na kama ulivyosema hauna ajira bali ni kibarua kuna haki lazima utazikosa kama NSSF, Kiinua mgogongo nk. kwa sababu wewe si muajiliwa wa kudumu.
 
N'jomba tambua kwamba kwa mujibu wa sheria Yale matakwa yote yanayotakiwa kutekelezewa na mwajili yote ni yale yale haijarishi ni mwajiliwa wa kudumu au siyo wa kudumu. She ria haikubagua mwajiliwa wa kudumu na asiye wa kudumu. Hawa vijana wameajiliwa na kampuni ya Chagua. (SWALI) je huyo mwajili (Chaguo) anawa-take care as waajiliwa?. Hapo ndo kuna shida. Inaonekana hii Chaguo inawanyonya tu hawa vijana. Ndiyo maana waziri aliyepita wa kazi na ajira aliagiza hizi kampuni ziondoke. Ila kwakuwa waziri yule hakuwa na MENO hadi Leo hizi kampuni za kinyonyaji zipo.
 
binafsi huyu mzee nilimpuuza baada ya kuona kwenye kifo cha aliyekuwa msoma taarifa ya habari ITV Rehema mwakangale alipofariki na kujulikana kumbe alikuwa kibarua tu.

Reginald Mengi, kila siku unajifanya kulia lia una uchungu unafanya mzalendo kumbe kampuni yako inafanya ushenzi huu kwa Watanzania siku ukipewa kitalu cha gesi itakuwaje.
 
mkuu ni nani huyo mvaa suruali za ugoko anayechukulia kila mada kidini na kikabila?
isije ikawa kinyume chake.

Mvaa suruali za ugoko kila mada ye anaichukulia kidini au kikabila.

✅ Huo mchezo upo sana hakuna kiongozi wizarani ambaye hajui,wanajua sana na wapo kwenye payroll zao,kampuni ndani ya kampuni ni jipu na Michezo yote ipo engineered na HR nao wana % zao.
 
N'jomba tambua kwamba kwa mujibu wa sheria Yale matakwa yote yanayotakiwa kutekelezewa na mwajili yote ni yale yale haijarishi ni mwajiliwa wa kudumu au siyo wa kudumu. She ria haikubagua mwajiliwa wa kudumu na asiye wa kudumu. Hawa vijana wameajiliwa na kampuni ya Chagua. (SWALI) je huyo mwajili (Chaguo) anawa-take care as waajiliwa?. Hapo ndo kuna shida. Inaonekana hii Chaguo inawanyonya tu hawa vijana. Ndiyo maana waziri aliyepita wa kazi na ajira aliagiza hizi kampuni ziondoke. Ila kwakuwa waziri yule hakuwa na MENO hadi Leo hizi kampuni za kinyonyaji zipo.

N'jomba kibarua ni muajiliwa wa malipo ya saa, siku, wiki, au mkataba wa miezi mitatu, maana yake kila baada ya miezi mitatu anajaza fomu ya ajila mpya. ndiyo ujanja unaotumiwa na hawa agents ili kukwepa sheria ya mafao yanayobana sheria ya ajira ya kudumu. hiapo hakuna likizo, mafao ya likizo wa kiinua mgongo. nimeoshuhudia agents kama hawa wanawajazia wafanyakazi fomu za mkataba mpya hata bila wao kujua. Nachotaka kukufahamisha sheria ya ajira ya kudumu na ajira ya muda ni tofauti
 
Reginald Mengi, kila siku unajifanya kulia lia una uchungu unafanya mzalendo kumbe kampuni yako inafanya ushenzi huu kwa Watanzania siku ukipewa kitalu cha gesi itakuwaje.

Yeye ana tatizo gani analipa laki tatu ila jamaa anawapunja ni sawa na Makampuni ya Ulinzi pia... Laki tatu ni Nyingi sana kwa Kibarua
 
huu ujinga upo mpaka kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina. wana-subcontract manpower supply na inawaumiza sana Watanzania
 
atupishe ku*.. ma huyu. anajifanya mzalendo kumbe ma..vi tu. nakuchukia mengi na TV yako . hivi unajisikiaje kuwanyonya waTAnzania wenzako? unaona raha kula bata naa K lyn huku mzawa mwenzako anaokota makombo kama Lazaro chini ya meza yako?
Coca cola kwa Tanzania ziko nyingi, kuna Kwanza iko DSM, Bonite nadhani iko Moshi au Arusha sina uhakika pamoja na Nyanza iko Mwanza, sasa kumsema tu Mengi Mimi naona no kumwonea, Mengi anamiliki Bonite na hizo zingine zinamilikiwa na watu wengine. Mtoa mada hajasema ipi anayoilalamikia, kama ni ya DSM huyu Mzee hahusiki.
 
Hata kama utaratibu huu wa agency upo duniani kote ila kwa hapa Tz naona hizo agency hazifuati utaratibu mzuri kwa waajiriwa yaani wanawa treat ovyo sana wafanyakazi wake
 
Back
Top Bottom