"Mwambie mwenyewe......

"Mwambie mwenyewe......

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
[h=5]Jamaa flani kaingia salon,wakati ananyolewa akaingia mwanadada mmoja mrembo. Jamaa akaamua kujaribu bahati
yake.
Jamaa:"Mambo?"
Dem:"Poa"
Jamaa:"Mi na wewe tunaweza
ongea baadae?"
Dem:"Kwanini?"
Jamaa:"Nimekupenda nataka
nikupeleke date."
Dem:"Sawa,ila nitamwambia nini
mume wangu?"
Jamaa:"Aaah...hilo si tatizo
mdanganye tu! Mwambie
umeenda kutembelea rafiki yako
hospitalini."
Dem:"Mwambie mwenyewe...huyo
hapo ana kunyoa!!"

hebu tafakari nini kilitokea? au ungekuwa wewe ndio huyo jamaa ungefanyaje?[/h]
 
ilinitokea ila mimi ilikuwa ni famasi, na mteja aliyemtongoza mke wangu aliyeingia ghafla famasi akidhani ni mteja nilimhudumia dawa za gono ilikuwa kinondoni 2005
 
Namwambia subiri nimalizie kunyoa nitamwambia, nikimaliza nduki speed 120 kwenye kona shaaaaaaaaa!
 
Kuna mijitu mingine mazungumzo yao na wanawake ni kutongoza tu na huwa haijali hata kama kuna watoto wadogo au wazee. Wengi wa hii mijitu ni isiyo na nguvu za kiume au shogaz
 
haina haja ya kumuogopa kinyozi kwan ni suala la kawaida ukizingatia anayenyolewa hakujua kama ni dem wa kinyoz
 
mi ningewambia mshkaji nazingua bwana nilijua fika km hiki ndo kifaa chako...ningemsifia umepata kifaa kina msimamo...halaf najichekesha chekesha.
 
hahaaa ama kweli "za mwizi ni arobaini" na "siku ya kufa ngedere miti yote huteleza"
 
[h=5]Jamaa flani kaingia salon,wakati ananyolewa akaingia mwanadada mmoja mrembo. Jamaa akaamua kujaribu bahati
yake.
Jamaa:"Mambo?"
Dem:"Poa"
Jamaa:"Mi na wewe tunaweza
ongea baadae?"
Dem:"Kwanini?"
Jamaa:"Nimekupenda nataka
nikupeleke date."
Dem:"Sawa,ila nitamwambia nini
mume wangu?"
Jamaa:"Aaah...hilo si tatizo
mdanganye tu! Mwambie
umeenda kutembelea rafiki yako
hospitalini."
Dem:"Mwambie mwenyewe...huyo
hapo ana kunyoa!!"

hebu tafakari nini kilitokea? au ungekuwa wewe ndio huyo jamaa ungefanyaje?[/h]

ha ha ha ningemwambia mbona huyu kinyoz ana demu mwngne kitaa then ndukii
 
"siku ya kufa ngedere miti yote huteleza"[/QUOTE]

Nakataa hapo utafiti unaonesha nyani siku ya kufa hana nguvu so km yupo mtini lazima ashike tu miti haiterezi kijana siku zote mbona alikuwa anakwea km hana akili nzuri!!
 
Ningemsifia jamaa kapata totoz mzur,maana hata hvyo huenda sio kweli kwamba ni mshkaji wake may b atakuwa anazuga tu,then nikimaliza kunyoa namuaga mchz na demu na kumwambia kwaher shemeji.
 
Back
Top Bottom