mwambie jirani yako leo atapata mimba!!!!

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
[h=6]mchungaji mmoja katika
mahubiri yake huwa
anachangamsha sana waumini
wake,kwa mfano utakuta katikati ya
mahubiri utasikia "..Muambie jirani
yako..Yesu anakupenda!" basi kwa
furaha na mbwembwe kila mtu
atamuambia jirani yake,kisha
mchungaji anasema "pokea upendo
wa bwanaa!"..Sasa jana mchungaji
alikuwa anahubiri kuhusu wanawake
wasiopata watoto,sasa katikati ya
mahubiri akasema "...Muambie
jirani yako,mwaka huu utapata
mimba!" bila kujali watu wamekaa
na nani jirani wengi tulikaa kimya
kwani unakuta umekaa na
mwanaume mwenzio.Mara ikasikika
tu mtu kapigwa kofi huko nyuma
alafu mtoto akaanza kulia ile
tunageuka tunakutana na baba
akimwambia mwanae wa kiume
"..Ukome!".
[/h]
 
mchungaji anaweza akasababisha varangati kanisani
 

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!! Ebwana sijawahi kucheka kama leo dah...
 

alitaka makuu huyu jamaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…