Mwamba kazeeka vibaya

Side effects? Anaewezaje kuwa bado hajaanza kutokwa povu?
 
Issue SI uzee Bali ni ugonjwa wa afya ya akili. Hapo ubongo umeshaharibiwa unatafsiri vitu tofauti. Haya mambo yapo hata bongo niliwahi kumwona magonjwa wa akili akiwa na kiporo Cha ugali wa sembe mweupe kaitweza kama mboga kwenye sinki la kinyesi lililokuwa limepasuka. Omba Mungu na tuwapmbee wanaopitia changamoto hiyo hasa ndugu zao wanaopitia kipindi kigumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…