Mwallu: This is for you

Wewe umesubiri nimevumbua dhahabu afu ndio unajidai kuweka ukaribu na mupenzi wangu Kasinde. Kwani siku zote ulikua humuoni kaka? Nyendo zako ndio zinanitia mashaka sana.

NB: Utabiri unaonesha hii wiki utafumaniwa... ukeshe sana kwenye maombi kaka Bazazi.
cc Ntuzu na kiwatengu na Mentor mtembee na hela za emergency mnanaweza pokea simu ya tukio muda wowote kama huyu ndugu yenu hatauheshimu huu utabiri.

Mkuu Tized mbona unakuwa mbaya hivyo aise mimi na shem Kasinde hatuna nia mbaya kabisa na wewe ni mtu na shem wake tuu
cc Ntuzu
 
Last edited by a moderator:

Asa wewe si unajua ki/tu kikishavumbuliwa ndo uzuri wake unaonekana. We kumbuka mlima kilimnajaro ulikuwepo miaka na miaka ila waliposema kuwa umevumbuliwa ndio watu wakajua kuwa kumbe kuna mlima mrefu Africa
Sasa umemvumbua Kasinde amejua kuvaa na anajua kupuliza perfume na kupaka wanja na lish shiner anaopnekana kitu murua kwa nini asipendwe
Ntuzu mwambie Tized azidi kumpendezesha Kasinde ili na sisi tufaidi kwa macho aise
 
Last edited by a moderator:
Tized I hope u are fine and had a great day, just know that somewhere someplace Kasinde is leaning on your shoulder feel secured by wrapping ur arms around me.....................

Ila ndugu yako Mr. Rocky anakuchokoza hadi ningekuwa mimi ningekasirika eeehh, mwaya nikuandalie nini leo jioni?
 
Last edited by a moderator:

Kasinde simchokozi Tized na unajua ndugu ni lazima wakae kwa amani na furaha muda wote. Tized ni ndugu yangu hicyo niko nae makini sana asije akapotoka na namlindia shemeji yangu
 
Last edited by a moderator:
Naaaam Sweetlove!!!!!

Kwa kuwa kesho twashinda wote, pitia tu mboga kwa donna mchana. Loooohhh umesahau mtoko wetu leo!!!!!!!!!

Hugs n kisses!!!!!!!!
 
Maneno ya Mkosaji hayo. eti unanilinda wakati umeshaomba privacy kwa nguvu hivyo? na kwa maneno yeko tumekusikia wenyewe ukisema hata upewe TRILION za hela zitafika salama ila ukipewa SHEMEJIO hafiki salama. cc Kasinde

Acha kutuzuga apa. Alaaah!!!!!

Wacha fujo endelea kuvumbua dhahabu bana wengine tu.tengenezee vidani na chain Kasinde mimi ni shemejio usimsikilize Tized anaharibu sana
 
Last edited by a moderator:
Naaaam Sweetlove!!!!!

Kwa kuwa kesho twashinda wote, pitia tu mboga kwa donna mchana. Loooohhh umesahau mtoko wetu leo!!!!!!!!!

Hugs n kisses!!!!!!!!

[video]www.youtube.com/watch?v=aztY_fpjJeQ[/video]

am I only dreaming....., kisses
 
Wacha fujo endelea kuvumbua dhahabu bana wengine tu.tengenezee vidani na chain Kasinde mimi ni shemejio usimsikilize Tized anaharibu sana

Shemeji unataka kuzima taa, muache basi nduguyo akae na Kasinde kwa amani. Mimi nimezaliwa nina tabia ya usikivu na woga, na nilichokatazwa sifanyi hata iweje. Tized amenionya juu yako, namtii na namsikiliza. Tized nimekuandalia karanga na juice ya mchanganyiko wa maziwa na tende karibu.
 
Last edited by a moderator:
Nyie hapo nendeni PM kwa mapenzi yenu ya nyimbo na sijui nini nini hapa tupo kumtakia mwallu happy birthday Kasinde na Tized bado sijafikia kipindi cha kuharibu nikiamua nawaharibia sana
 
hahahahahaa ukituharibia utakuwa mkorofi, are we that much stunning??? me and Tized kiasi cha kutaka kutuharibia, mbona wapo wapendanao wengi humu, kwani sisi? Kasinde na Tized mapendo daima, chuki mwiko looh
 
Nice song dearest. We ve got tonight

You know what my Tized I like singing a lot, yaani hii kuimba kwa kupokezana napenda sana, its like mie naoga bafuni naimba wewe unaitikia tunapokezana kuimba, niko jikoni naandaa chakula naimba nawe kwa upande wa pili unaitikia, I love this, u have touch my heart THANK YOU so much dear for the song, me love that.

Am thinking of having a trip togather........ riding........... and on the road....................., Tizzeeeddd!!
 
Last edited by a moderator:
Ooooohhh Thats awesome. Singing is my hobby.
Just like this.......................... ...............Mengine tutaongea maana Mr Rocky hachelewi kutubokoharamu.

Last edited by a moderator:
mwallu!

its me Excel!

though i am late, but on behalf of my family, i wish to say... Live long, live better!
 
Last edited by a moderator:
ooooohps am soooooo late happy birthday mwallu uishi miaka mingi
 
Last edited by a moderator:

hahahahahahhahahahah babu umeniacha hoi
 
Last edited by a moderator:
Umesahau Mentor ni PM moderator eeh. Bora iwe wazi maana hili jamaa ni lipekuzi sana.

Mentor tushamwekea funguo hawezi tena kuingia PM kwa mtu yoyote amebaki na ukaguzi wa nje tuu ambao hauna tija Kasinde wewe nimzuri na unapendeza na ndo maana nakupenda na ndo maana niko karibu na wewe kukulinda
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…