Usimsikilize sana Mentor, bangi zinamsumbua.
Thank you mkuu Nokia83Safi sana....HBD mwallu
Wii Asante sana.....nashukuru......niitie kaka yangu Ntuzu plizHappy birthday wifi yangu mwallu. Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka wewe na mumeo
Thanks Mr Rocky.....Amen amen
Amen Valentina.....Asante sanaMaisha marefu yaliyo jaa heri nakutakia mwallu
The Boss umechelewa mno kujua.....Asante sana mkuu
Ahahahahahaha......Asante @Aspirin natumaini nane haijaanza tayari....aand.....I will marry you Not dear......am already taken joUsimsikilize sana Mentor, bangi zinamsumbua.
Siku moja, Mentor alinunua bangi usiku.
Alipofika nyumbani,akavuanguo na
kuzima taa,ili aivute bangi yake vizuri.
Aliinusa akaona si kali,akaamua
kuirudisha.
Akavaa nguo gizani bila kutambua
amevaa skirt na blouse ya mke wake.
Alipofika kwa muuzaji,akamwambia
Bwana eeee hii bangi wasi wasi
kweli,siitaki hata sii kali
Muuzaji akamwambia, kama hio si kali
na imekuvalisha rinda,nikikupa kali si
utapata periods!!!
happy birthday darling wangu mwallu. Will you marry me???
Asante nzuna......Asante sanaHappy birthday my dia dada.Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele
ObhejaaaaaaHappy Birthday wa kukaya, umeibua Joker!
Dah.....nahisi ni vyote ama na zaidi.....napata maziwa fresh taratiiibu kabisaUnakosa maneno sababu una blush? Excited? Pata maziwa utulize Munkari kidogo.
Crown tunavaaga tu Elli.....Asante sanaMpwa wangu huyu shemeji yangu mwalu mbona kama vile ni Womanchester United??
Thanks darl NeyluHappy Birthday Dear..!