Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
NIT IPO WAPI MKUU?Kwa nini usiende tu Vyuo vya Mafunzo ya Udereva? Huko watakupatia cheti baada ya kufuzu na utaipeleka ili ukapewe Leseni. Nenda VETA hayo mafunzo ya Udereva yapo.
Au nenda chuo cha Usafirishaji (NIT).
Eneo la kujifunzia wapi?Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.
Njoo pm, nipo Dar es Saalam
BARABARANI MKUUEneo la kujifunzia wapi?
UTAKUWA UNANIONEA BURE MAANA SIJAWAI KUKUKOSEA KITUNimekuchukia weeeeeee,,,, imebidi nianze kukupenda tu!!
Yaani gari liko eneo gani pa kuanzia? Nauliza hivi ili nijue kama tutakuwa uelekeo mmoja nisipate shida ya usafiri kurudi homBARABARANI MKUU
Ipo Mabibo Mkuu mbele ya Mwananchi. Sijajua lakini lazima wanayo darasa la jioni. Ni chuo Kizuri sana kwa Usafirishaji.NIT IPO WAPI MKUU?
WANA MADARASA YA JIONI?
TEGETAYaani gari liko eneo gani pa kuanzia? Nauliza hivi ili nijue kama tutakuwa uelekeo mmoja nisipate shida ya usafiri kurudi hom
HUKO MBALI ANYWAY NASHUKURU NGOJA NIFANYE MCHAKATO MKUUIpo Mabibo Mkuu mbele ya Mwananchi. Sijajua lakini lazima wanayo darasa la jioni. Ni chuo Kizuri sana kwa Usafirishaji.
Basi tu yaani na vurugu vurugu zako tu.. makusudi mengiiiiiii!UTAKUWA UNANIONEA BURE MAANA SIJAWAI KUKUKOSEA KITU
Duh!asante,haya wadau wa maeneo hayo fursa hiyo!Mi nipo kigamboni,hyo itanicost sana!TEGETA
AHAHAAAA POLE SANA NIPO KAWAIDA TU MBONA?Basi tu yaani na unavurugu vurugu zako tu.. makusudi mengiiiiiii!
Kiongozi acha basi hizo imepatikana fursa hapa unataka kuipeleka veta na NIT,mimi nakupunguzia nitakufanyia sh 50,000 tu kwa week,nauri na vinywaji baada ya kazi juu yako,toa maelekezo mazoezi yanafanyikia wapiKwa nini usiende tu Vyuo vya Mafunzo ya Udereva? Huko watakupatia cheti baada ya kufuzu na utaipeleka ili ukapewe Leseni. Nenda VETA hayo mafunzo ya Udereva yapo.
Au nenda chuo cha Usafirishaji (NIT).
NIT HAWAFUNDISHI KUENDESHA GARI. WANAFUNDISHA MADEREVA KUWA MAHIRINIT IPO WAPI MKUU?
WANA MADARASA YA JIONI?
VETA ni Tshs.180,000/= ukiweka na Tshs20,000/= ya TRA.Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.
Njoo pm, nipo Dar es Saalam
Unakaribia kufanana na yule mdada mwingine anaitwa Monicca!AHAHAAAA POLE SANA NIPO KAWAIDA TU MBONA?
MBONA MNANICHANGANYA JAMANINIT HAWAFUNDISHI KUENDESHA GARI. WANAFUNDISHA MADEREVA KUWA MAHIRI
VETA ni Tshs.180,000/= ukiweka na Tshs20,000/= ya TRA.
NISAMEHE KAMA NAKUBOA UNATAKA NIFANYEJEUnakaribia kufanana na yule mdada mwingine anaitwa Monicca!