Mwalimu wa somo gani huyu?

Mwalimu wa somo gani huyu?

huyo wa hisabati na MIFIMBO HIYO NI DEFENCE MECHANISM YAKE KWA WANAFUNZI HATA AKIKOSEA WASICHANGIE KUULIZA WALA KUMREKEBISHA! KIMYAAAA!
 
06532dc4506f489158166c4dbe36d29b.jpg

Labda wa Kiswahili
 
Usituzingue hapa, tabia ya kupakia(upload) picha za comedians muache !!
 
Ni mwalimu wa somo gumu na wanafunzi watukutu hawaelewi mpaka msaada wa bakora
 
Back
Top Bottom