Mwalimu wa Shule ya Msingi (English Medium) anahitajika

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,279
12,590
Habari wanabodi

Nahitaji mwalimu kwa ajili ya kunifundishia watoto wangu masomo ya jioni. Watoto wanasoma Shule ya msingi.

Sehemu: Mbweni
Muda: Kuanzia saa 11 jioni, Jumatatu - Ijumaa

Sifa ya Mwalimu:
Awe Ni mwalimu wa shule ya primary ambayo ni English medium

Naomba tuwasiliane kwenye - 0767836872 - WhatsApp Only.
 
Kwa wale wanaohitaji Mwalimu wa Chemistry, Physics ama Biology (A–level na O–level). Nafundisha online PEKEE (WhatsApp) ama unahitaji video tu, nakutumia kwa mada uitakayo.

tuma SMS niunge 0759 170 823.

tuma SMS video 0759 170 823, nitakujibu Kwa namba ya Airtel
 
Habari wanabodi

Nahitaji mwalimu kwa ajili ya kunifundishia watoto wangu masomo ya jioni. Watoto wanasoma Shule ya msingi.

Sehemu: Mbweni
Muda: Kuanzia saa 11 jioni, Jumatatu - Ijumaa

Sifa ya Mwalimu:
Awe Ni mwalimu wa shule ya primary ambayo ni English media

Naomba tuwasiliane kwenye - 0767836872 - WhatsApp Only.
Ingekuwa mbeya ningekuja maana wangu namfundisha kilasiku hadi jpil mida ya jioni
 
Mwalimu napatikana
Naitwa mariam
Bachelor of education (geography na history)
0683929028
 
Back
Top Bottom