Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

My Mud

Senior Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
108
Reaction score
17
Ebu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
 
àaaaaaah aaaaaaah aaaaaaaaaash vitu vya ajabu sio! elezea how mkuu
 
Lakini ile contract ya umeme au maji atakayo pata engineer siyo sawa na ada ya tuition mkuu.
Inategemea idadi ya wanafunzi na kiasi anachotoza mwalimu kwa kila mwanafunzi.
 
Ebu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
Mwalim akihitim ajira ni fasta, ila engineer atazunguka na bahasha ya kaki mpaka ibadilike rangi na kuwa nyeusi akitafta ajira
 
Hivi walimu mnajua dokezo??

Hahaha injinia analipwa mshahara na posho hata kama kazi anafanya ndani ya muda wa ofisi... na si ya laki moja per day.
 
injinia ndio anayo fursa nyingi nje ya mshahara kwasababu yeye ni mtendaji zaidi tofauti na mwl yeye ni implementer
 
Engineer ndio ana fursa nyingi za kumake pesa

M
Ualimu katika nchi hii ni matatizo matupu
 
Engineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field
 
Uhandisi ni Taaluma ya pili kwa kupokea hela ndefu na dili kibao nje ya kazi nafikiri Siasa ni ya kwanza kwa kuingiza hela then waleta doctors Na wahasibu mwalimu hata askari tyu anamfunika haswa hawa trafiki
 
Engineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field
Umesomea wapi
 
Back
Top Bottom