Mwalimu wa programming kwa watoto miaka 9 na kuendelea

Mwalimu wa programming kwa watoto miaka 9 na kuendelea

melchior

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
227
Reaction score
214
Natafuta mwalimu wa kufundisha programming mwenye uwezi wa kufundusha watoto wa kuanzia miaka 9 na kuendelea
 
Najua programming na naweza fundisha lakini mi sio mwalimu by professional.. kama bado utahitaji huduma yangu tunaweza zungumza
 





 
Please contact me 0766925042
Nipo dar es salaam
 
Thank you so much mkuu





 
Thank you so much mkuu




Pamoja.
 
Back
Top Bottom