Mwalimu wa PCB anatafutwa haraka.

ytara jr

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
36
Reaction score
1
Shule mudida sek,singida.
-nyumba,kitanda,godoro vpo.
-awe wa jinsia yoyote.
-awe m2 wa kug2ma.
-muwagbkag.
»Shule ina maji na umeme.
Shule inatoa si zaid ya tsh. 120,000/= kwa mwezi.
»Atafundisha mikondo mi-5, i.e vipindi 4*5=20 kwa wk,kwa physics,au chemistry.
Aliye tayari ani-pm.
 
mkuu hyo hela ni kwa mwal wa ngazi gan! labda ngazi ya certificate, je kwa ngaz ya degree utatoa sh ngap na drs gan?
 

mkuu uko serious kweli? huwez pata mtu hapo,au hata ukipata atakukimbia siku si nyingi, walimu wa science ni hot cake nchi hii,
 
Mkuu kwa mshahara huo si zani kama utapata mwalimu , labda form six leaver, au wewe unataka mwalimu mwenye sifa gani? Hebu fafanua zaid.
 
Kilo moja na ishirini kirahisi rahisi tu! Hata Mwalimu wa Kiswahili humpati! Labda baby class
 
Huo ni mshahara au posho ya siku?
 
Nadhani imewafikia wadau

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…