RealTz77
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 738
- 43
Nahitaji mwalimu atakayenifundisha music (haswa kupiga kinanda/gitaa), aniinbox tuwasiliane na kukubaliana.
Muhimu: 1.awe anaishi dar es salaam
2.Pia kama kipo chuo kinachofundisha mambo hayo nitafurahi zaidi ( Vijana Amana naona siku hizi hawafundishi)
3.Ni kwa interst tu sio kwa biashara
Muhimu: 1.awe anaishi dar es salaam
2.Pia kama kipo chuo kinachofundisha mambo hayo nitafurahi zaidi ( Vijana Amana naona siku hizi hawafundishi)
3.Ni kwa interst tu sio kwa biashara