Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

Togolo

Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
11
Reaction score
11
Kama kuna mtu amesomea masomo tajwa hapo juu (physics na mathematics), anahitajika kufundisha Shule ya Sekondari Uruwira.

Shule ni ya Serikali ipo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi

Nb posho 150000

Accommodation, na breakfast ni free

Piga 0754576401/ 0658576401
 
Kama Kuna mtu amesomea masomo tajwa hapo juu, anahitajika kufundisha shule ya sekondari URUWIRA

Shule ni ya serikari ipo wilayani MPANDA mkoani KATAVI

NB Posho 150000
Accomodation, na Breakfast ni free

Piga 0754576401/ 0658576401
Hii Uruwira si ipo karibu na Kanoge?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kama Kuna mtu amesomea masomo tajwa hapo juu (physics na mathematics), anahitajika kufundisha shule ya sekondari URUWIRA

Shule ni ya serikari ipo wilayani MPANDA mkoani KATAVI

NB Posho 150000
Accomodation, na Breakfast ni free

Piga 0754576401/ 0658576401
Yupo hapa ni fizi na kemia vip?
 
Ila bana nchi yetu kubwa mno halafu eti Kuna mtu mmoja anaamua kifanyike Nini kwa matakwa ya watu wote hawa. Wazungu walikuwa na tawala za kikabila wakakomaa wakaamua kuungana baada ya kuwa wote wamepiga hatua. Sie tume adopt mfumo wao. Yaani Bora tuwe na tawala za kila region. Mtu anakuwa raisi anapenda Hawa Ila anachukia Hawa anawatoa Mali na pesa kiisa tu uhujumu uchumi
 
Yaani mtu umlipe 150k, mchana na usiku ajitafutie chakula, aweke vocha na mahitaji mengine madogo madogo... Atapata hata hela ya kuhonga kweli au mnataka abake watoto wetu... Sa si Bora awe bodaboda tu sasa
 
Yaani mtu umlipe 150k, mchana na usiku ajitafutie chakula, aweke vocha na mahitaji mengine madogo madogo... Atapata hata hela ya kuhonga kweli au mnataka abake watoto wetu... Sa si Bora awe bodaboda tu sasa
😄😄😄 Si ataenda nunua utamu bei ya mtaa ni elf 3/5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom