Mwalimu wa Lugha ya Kifaransa

Mwalimu wa Lugha ya Kifaransa

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,956
Reaction score
7,007
wadau, wakurugenzi na school managers, nina jamaa yangu from Rwanda anataman aje Tanzania kufundisha lugha ya kifaransa kwa shule za secondary Tanzania.

kwa atakaye hitaji tuwasiliane ili tupate.mtu wa kutufundishia vijana wetu lugha hiyo ya kimataifa.

private message itakuwa nzuri kuwasiliana.

ana bachelor degree from Institute of Education Rwanda
 
kuna shule moja hivi ya ajabu hivi ya advance ipo kigoma katka wilaya ya kasulu
wanatafuta mwalimu wa kifaransa
ila ukitaka kazi hiyo nenda halmashauri ya wilaya ya kasulu watakuconnect
 
kuna shule moja hivi ya ajabu hivi ya advance ipo kigoma katka wilaya ya kasulu
wanatafuta mwalimu wa kifaransa
ila ukitaka kazi hiyo nenda halmashauri ya wilaya ya kasulu watakuconnect

Shule ya ajabu? iko sehem gani ambayo DED KASULU ndo anayekuunganisha?
 
wadau, wakurugenzi na school managers, nina jamaa yangu from Rwanda anataman aje Tanzania kufundisha lugha ya kifaransa kwa shule za secondary Tanzania.

kwa atakaye hitaji tuwasiliane ili tupate.mtu wa kutufundishia vijana wetu lugha hiyo ya kimataifa.

private message itakuwa nzuri kuwasiliana.

ana bachelor degree from Institute of Education Rwanda[/QU




Hello was jamiiforum.

Hata mimi ni mwarimu was kifaransa mzuli. Nina bachelor's degree from Burundi. Nina experience katika kufundisha kozi ya kifaransa hata kingereza pia.

Napatikana kahama. Nina karatasi za njia(passport). Kwahio kama Kuna shule zinazo tafuta warimu was kifaransa, naomba muniunganishe.

Nipo nambari: 0767429275
E-mail: Habonasalva@yahoo.com
 
Back
Top Bottom