mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,287
- 793
Ninafundsh PCM O level, shule au Center. Nahitaji posho ya lunch na usafiri tu (daladala).
Ni PM kwa maelezo zaidi.
Ni PM kwa maelezo zaidi.
I know why am doing this its part of our 2018/19 campaign TT5000, unaweza kuiserch instagramIf you are good at something, don't do it for free
Alright offers will be accepted tooNenda kafundishe primary school
Kasomeee ualimu mkuuu mbona masomo yako yanalipa kama we ni mwalimu professional,,,, au advance ndo ivoo tena ulipoteana siku ya necta,,, ukajikuta una differentiate constantNinafundsh PCM O level, shule au Center. Nahitaji posho ya lunch na usafiri tu (daladala).
Ni PM kwa maelezo zaidi.
Hhaha sio kweli bhana kampuni yangu tupo katika kampeni ya kufikia watoto 5000 ambao hawana elimu na future sasa kama wafanyakazi tumeombwa kujitolea masaa ambayo tukiwa huru tuwasaidie hawa watoto kufikia malengo yao, wanaita TT5000Features. Isearch instagramKasomeee ualimu mkuuu mbona masomo yako yanalipa kama we ni mwalimu professional,,,, au advance ndo ivoo tena ulipoteana siku ya necta,,, ukajikuta una differentiate constant
Kampeni ipo Instagram. Nadhani mtakuwa mnafundishia Insta Live sasaHhaha sio kweli bhana kampuni yangu tupo katika kampeni ya kufikia watoto 5000 ambao hawana elimu na future sasa kama wafanyakazi tumeombwa kujitolea masaa ambayo tukiwa huru tuwasaidie hawa watoto kufikia malengo yao, wanaita TT5000Features. Isearch instagram
Ushamba na ujinga unakusumbuaKampeni ipo Instagram. Nadhani mtakuwa mnafundishia Insta Live sasa
mimi mshamba wewe una kismatiUshamba na ujinga unakusumbua