Mwalimu wa kujitolea

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
2,287
793
Ninafundsh PCM O level, shule au Center. Nahitaji posho ya lunch na usafiri tu (daladala).

Ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Kasomeee ualimu mkuuu mbona masomo yako yanalipa kama we ni mwalimu professional,,,, au advance ndo ivoo tena ulipoteana siku ya necta,,, ukajikuta una differentiate constant
 
Hhaha sio kweli bhana kampuni yangu tupo katika kampeni ya kufikia watoto 5000 ambao hawana elimu na future sasa kama wafanyakazi tumeombwa kujitolea masaa ambayo tukiwa huru tuwasaidie hawa watoto kufikia malengo yao, wanaita TT5000Features. Isearch instagram
 
Kampeni ipo Instagram. Nadhani mtakuwa mnafundishia Insta Live sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom