Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,024
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna jamaa yangu (si Mtanzania) anahitaji mwalimu (professional) wa kufundisha kiswahili kwa njia ya mtandao, kutakuwa na makubaliano ya sessions na malipo ni maelewano.
Mwanamke atapewa kipaumbele zaidi, lakini awe na lengo la kufundisha zaidi na siyo kuwa na matarajio mengine.
Kwa aliye tayari anicheki chemba.
Mwanamke atapewa kipaumbele zaidi, lakini awe na lengo la kufundisha zaidi na siyo kuwa na matarajio mengine.
Kwa aliye tayari anicheki chemba.