mwalimu wa kingereza dar

mwalimu wa kingereza dar

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
kwa yeyote au mahali popote penye uhitaji wa mwalimu mzuri wa kingereza ,naomba tuwasiliane,ni mwalim mzuri anafundisha kuanzia darasa la awali mpaka vyuo ngazi ya chet na diploma.anapatikana dar lakin yupo tayari kufanya kazi mahali popote

mawasiliano 0715681975 na PM
 
Back
Top Bottom