Mwalimu wa hesabu na Mwanafunzi

Mwalimu wa hesabu na Mwanafunzi

Manager

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
531
Reaction score
73
Mwalimu: Nane kugawanya kwa mbili ni ngapi?
Mwanafunzi: Ni sifuri. Maana nane (8) imeunganishwa na sifuri mbili.

Mwalimu: kaa chini
Mwanafuzi: ngoja nijaribu tena. Ni tatu (3) maana ukiweka msitari kati kati ya nane unapata 3

My take: mwanafunzi genius--he/she thought differently
 
Yes s/he is genious coz s/he was able to think outside the box.."thumb up"
 
Hawa wanafunzi


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Think beyond ordinary answers, that was it!
Hivi inakuwaje kama mwalimu hafikirii beyond the ordinary answers--matokeo yake unapigwa chini! Hapo ndipo wanafunzi wengine watasema 'unajifanya una akili!'
 
Huyo mwanafunzi kilikuwa kichwa cha SIASA hicho, kinanyambulisha hadi Hesabuu!...huo mdebwedo!
 
Ni genius hata mwalim hajawah kufkiria hivo vitu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom