Mwalimu wa Hesabu/Geography anatafuta ajira

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Wakuu Salamu Kwenu,
Kuna kaka yangu alimaliza kidato cha sita 2004 mchepuo wa EGM, hakupata bahati ya kuendelea mbele kupata shahada baada ya kupata div 3.
Alipata nafasi ya kufundisha baadhi ya shule huko Moshi, zikiwemo Romwe, Usangi na Mruma Girls, akifundisha B/Maths na Geography. Ana ujuzi usiopungua miaka 8, na vilevile ana leseni ya udereva, daraja C.
Kwa sasa yupo mjini hapa, anatafuta shule ya kufundisha.
Nahitaji msaada wako kupata hata connections tu.
Ahsante...
 
Back
Top Bottom