Mwalimu wa geography na wananfunzi

Mwalimu wa geography na wananfunzi

said jaffary

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Mwalimu alikuwa anafundisha somo la Geography bahati mbaya chaki ikadondoka chini hivyo akaona ainame na kuiokota mara akajamba kwa kuona aibu kwa wanafunzi akatoka darasani na kurudi nyumbani ambako aliamua kuchukua likizo ya siku saba ili wanafunzi waweze sahau tukio lilitokea. Mara baada ya likizo kwisha akarejea darasani na kuanza fundisha kabla ya kuanza topic impya akawauliza wanafunzi wamkumbushe pale alipoishia, wanafunzi wakamwambia ni pale alupo jamba mwalimu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh so alifanyaje au aligawa mbano maana walimu wa bongo noma kwa vibano.
Pia ilikuwaje ainame tu ajambe auuuuuu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Likizo wiki nzima na bado hawajasahau? Kilichobaki aombe uhamisho au achukue sabbatical leave akirudi washagradueti.
 
Ningekua mm ndo mwalimu ningewaambia madenti kua kujamba ni kupumua kwhy acheni ubwege tupigeni shule halafu kabla sijamaliz kipindi nawaachia bonge la ushuzi jingine la kuwaaga!.
 
Duh so alifanyaje au aligawa mbano maana walimu wa bongo noma kwa vibano.
Pia ilikuwaje ainame tu ajambe auuuuuu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

hatutaki kujua kitu unachotumia iwe blackbeery au nokia haina kazi kwetu
 
Whiteman hivi kichwani zinakutosha? Yaani badala ya kucomment umeona ukoment khs mm huu si uungwana kwani unadhani mm ndio nimeandika hayo au hiyo ni jamiiforum application kwa simu za bb na lazima ziandike aina ya simu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom