Mwalimu wa French

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
647
72
Kama kuna kituo chochote wanachofundisha french kwa wasiojua kabisa jamani kwa hapa mwanza naomba anielekeze au ka inawezekana anipe na mawasiliano ya hiyo insititution
 
Unaonekana huna nia ya kusoma kifaransa. Mara ni wasanii halafu unataka contact zao. Anyways u dont judge a book by its cover. If u ar in mza go there physically meet them, talk to them and see if really they are wasanii or not
 
kwan me ndo nmekujibu kuwa ni wasanii? Au hujasoma jina la mtu aliyekujibu hiyo post?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom