Mwalimu wa Daycare anahitajika Kawe, Dar es Salaam

Mwalimu wa Daycare anahitajika Kawe, Dar es Salaam

nanaritha

Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
7
Reaction score
6
Natafuta mwalimu wa daycare, shule ipo maeneo ya kawe inapendeza mtu asitoke mbali. Kwa mawasilano zaidi wasap 0767191212. Usipige wala kubeep tuma sms.
 
Ngoja waje

Je kwanini mtu asipige kuepusha usumbufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom