Mwalimu vumilia, tumikia taifa vyema

Mwalimu vumilia, tumikia taifa vyema

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
20160919_124430.jpeg
serikali inajua una watoto 45... Lkn uhalisia ni balaaa
 
Mwanangu kibarua unacho hahah sikunyingine utajuta kuwaambia wakusanye
 
Mhhhh, watakwambia ni majukumu yako ukweli molari imeshuka sana , I. Q za watto zimeshka, wasomi wetu hawafanyi tafiti kujua tatizo ni nni wanfanya za kujpndekeza,.
 
Pamoja na mzigo wote huo bado Teaching Allowance amenyimwa. Anapewa mkuu wa shule, Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu Kata. Kwa kweli Ualimu ni Wito.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
pole wew mwl usie mbunifu weka majibu ubaoni wabadilishane daftar wanasahisha kwa mshahara upi unapata kibiongooo nenda n.a. wakt
 
pole wew mwl usie mbunifu weka majibu ubaoni wabadilishane daftar wanasahisha kwa mshahara upi unapata kibiongooo nenda n.a. wakt
Dah ww umekula "LIKE" kubwaaaaa. Huo ndo mpango wa walimu vijana wa sasa.
 
Hapo inabidi ukitoa exercise uwape na majibu ili kurahisisha usahihishaji
 
Back
Top Bottom