Mwzii huu kaka hakuna kitu ni yale yale tuuu labda mwakaniAisee tusubiri mwezi huu
Wanasema et ili kuongeza ufanisi na tija ili elimu bure isonge mbele bila ya kujali wale wengi kma hao wanaokula msoto na mizigo ya maana wakuu wao kazi ni safari tuu kila day yaniii duuu kweli mtoto wa mkulima lazima atoke povuPamoja na mzigo wote huo bado Teaching Allowance amenyimwa. Anapewa mkuu wa shule, Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu Kata. Kwa kweli Ualimu ni Wito.