Mwalimu Nyerere Wamlipua Kikwete

Tumaini
nakubaliana na wewe na dno kama nilivyosema hapo nyuma, kuwa jamaa hao akina butiku wanageuka kuwa kama an opposition party. si maanishi wasiikosoe serikali, hapana, wanarudia mambo ambayo yanasemwa na wananchi na vyama vya upinzani. wanatakiwa kufanya mambo mengi zaidi ya siasa. Sio tu kumuenzi mwalim, bali hata kuongeza zaidi aliyofanya mwalim. 'SIO KUSEMA SERIKALI YA SIKUHIZI INAKIUKA YA MWALIM'. Hayo ndo maneno yao daily wanayoyajua. hawana jipya kabisa jamaa.
 
Jibu kwanza post ya zungu..ndiyo ujibu yangu usiwe selective..yeye ndio ameanzisha mambo ya sheikh..mimi nikamjibu ok.

By the way hiyo faoundation ulishakosa mwelekeo tangu Mkapa aisusie...hawa viongozi wake hawajui maudhui ya foundation...wanapiga domo kama chadema,CUF and the like..

Ndiyo ni kweli ulimjibu,lakini on my frame of reference ume "confirm" kwamba wewe ni sheick,mambo ya kuanzisha hiyo ni posting nyingine mimi nimetumia uhuru wangu na kuijibu ile uliyokubali kuwa wewe ni sheick.
CHADEMA,na CUF nazo ni foundations ama foundation ni chama cha kisiasa?Ama ni maudhui ambayo yamegusa maslahi ya wanasiasa?jua kutofautisha,tumia common sense and utaelewa what i mean.
 
bwa hahaha
 
Nitawaona hawa akina Butiku & Co. wanaipenda nchi yao kwa dhati kama wataenda extra step - na kumtafuta na kumuandaa mtu safi am 'çhallenge' huyu mwanamtandao mwakani (humo humo ndani ya chama chao). Mengi yamesemwa tayari na inaonekana JK hatadilika ng'o!
 
Hahahaha,

Not to exonerate Mkapa, but...

Unaweza kufikiria Tanzania ambayo baada ya Mwinyi angeingia Kikwete?

Nchi ingeshauzwa kwa Wahindi siku nyingi sana! Hata Ikulu ingebinafsishwa!
 
jokaKuu,
Hali ya sasa ni tofauti SANA na hali ya 1995. Kama Butiku angeyasema haya 2005 watu wangefikiria anampigia debe Salim kwa sababu alikuwa kambi hiyo. Lakini leo wakati ni muafaka kwa sababu mifano yote aliyoitoa kila Mtanzania ameiona na anaielewa. It is timely!

Jasusi,
Na kwa kuongezea, Butiku aliwahi kuandika barua ndefu kwa Mkapa kabla ya uchaguzi ama baada ya uchaguzi wa 2005 (sikumbuki vyema) akielezea uozo mwingi uliokuwa ukitendeka ndani ya Serikali na Chama lakini hakuna aliyetilia maanani barua hiyo iliyokuwa na mengi ya msingi na yenye manufaa kwa mustakabali wa taifa.
 
nakubaliana yote na akinba butiku, lakini,hawaiendelezi M Nyerere foundation kama ipasavyo na watasingizia hawapati pesa za kutosha from gov. Kuna mambo zaidi ya hutuba wanaweza fanya......kama nilivyoeleza hapo nyuma hata kutoa scholarships za elim ya juu, japo tatu kwa mwaka they can do that for sure. Ila daily wao ni kuikandia tu serikali as if ndo kazi ya Mwali Nyerere Foundation.

Unatoaje scholarships za elimu ya juu bila funds?!
 
Ndiyo ni kweli ulimjibu,lakini on my frame of reference ume "confirm" kwamba wewe ni sheick,mambo ya kuanzisha hiyo ni posting nyingine mimi nimetumia uhuru wangu na kuijibu ile uliyokubali kuwa wewe ni sheick.
CHADEMA,na CUF nazo ni foundations ama foundation ni chama cha kisiasa?Ama ni maudhui ambayo yamegusa maslahi ya wanasiasa?jua kutofautisha,tumia common sense and utaelewa what i mean.
Nani aliyekwambia masheikh hawaruhusiwa kuwepo JF kuwa akili wewe

Ulipoona sheikh kwasababu uko biased na selective ukaona ujibu..ungemjibu yule kakobe mwenzako...tumia common sense usiwe kama nguruwe utanielewa ok

Kichwa maji chadema na cuf ni foundation? itabidi urudi shule usome maana ya foundation..nyerere faoundation ilishakosa base tangu zamani..warudi kwenye basic values za foundation tutawaelewa kwasasa ni wajinga na lossers ndio wanaopiga kelele...
 
He loved his country yes but only believe his church members as the best people among all Tanzania to lead (mbaguzi) ndio tatizo lake..that is all

Tumaini, acha kutumiwa, Mwinyi alikuwa Mroma? Rudi shule ukaelilimike
 
Back
Top Bottom