Mwalimu Nyerere na mama yake

Ni mwendo wa mafumbo tu!
Hata aamuwe kujipendekeza kwa THE ORIGINAL FIRST LADY. Bado hasafishiki, ni mtekaji, mtesaji, mdhalilishaji, fisadi, muuwaji!
 
Bro hata kama kijana anajimwambafai

Tumia maneno ya adabu kidogo

Tunaona takataka nyingi zenye daraja kama iliyokuwa la kwake zinavyobehave na unajua zaidi yetu

Yeye kuwa na utungu na kutapika nyongo hata pasipostahili ni ukaribisho wa kicho
 
So unatuambia wa waheshimu sana bloodline

Kuliko uadijakopa.!

Huwezi kuwa na acces kama hii viti virefu wakati sio...!

Kama hivyo wasiwasi wao unamaana
 
Ninakumbuka pale kijijini pao Mwitongo aliwapa shida walinzi kwa kuwatuma wakamletee ile kinywaji pendwa isiyoruhuwa.
 
Unaifahamu hadithi ya wale vibaka wawili,Munishi na Malebo.
Walikuwa wanafanya shughuli zao stendi ya basi Arusha ( stendi ya Kilombero labda).
Yule Munishi alikuwa anamwambia mwenzake."Usiwe mshamba. Watu wakikutukana usitake kupigana. Wanakutukana kwa makusudi ili upigane wakuibie hela zako."

Halafu baadaye yule Munishi alienda Nairobi halafu sijui ilikuwaje baadaye.
 
Hahahahaha ngosha ngw'angaloka namhala wane welaga shiza ukwenuko?
 
Analihubili neno takatifu kwa Sasa wizi kaacha
 
Mwalimu hakua na foresight kwa hakika..yule mzee amelifelisha sanaa taifa kwa sera zake za ujamaa na siasa za kuogopa dola
Siasa za kijamii kivipi mbona alikua anapenda sana kutembelea Marekani na Uingereza na mpaka akaenda Uingereza kutibiwa.
 
Hiyo crystal ndo mnaweka kwenye yale mapete makubwa makubwa?
 
Nimeyaona haya mawe, quartz,yanauzwa kwa kilo.
Naona kwamba quartz na Rick crystal ni kitu kile kile.
Kwa hiyo nimechukua handful.
Ideal ni kupata chunk moja kubwa, lakini hizi ziko vipande vipande.
Kwa hiyo,kama nilivyosema,nimezicuukua kidogo and I want to see what will happen next .
Nimekaa nazo katika giza,mawe yanang'aa.
Halafu baadaye inatokea kama moshi mweupe.
Halafu,I understand the smoke will dissipate,will clear,will part,halafu ndio unaona pictures .
So, what I am saying is that mtu akitaka kufanya crystal gazing,mtu akitaka kuwa fake prophet,aitafute hii quartz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…