Mwalimu Nyerere na mama yake

Weka pich yake hapa
 
Hivi Andrew kwa nini huwa hutaki kuonana na watu,ujue wewe ndio kijana Mkubwa wa Nyerere na infact wewe ndio mtoto pekee uliyefanana na Mwl.Nyerere kwa kila kitu Sauti,morphology ya mwili,rangi.

Miezi 6 iliyopita nilikuja hapo kwenu vile tumemaliza kusalimiana tu ukapotea kama upepo.
 
Nilijua umemsindikiza Mama yako kwenda Angola kufungua Hospitali kumbe ww umeenda Butiama.
 
Tukubali tu kwamba, licha ya mambo mengine , huyu mwamba ana uelewa mpana wa mambo. Sema ndio hivyo. Kiimani tunaweza sema ndiondagu ya familia? Kuna namna wali walim... Ili awe hivi alivyo?
 
Nimeota sasa hivi kwamba naishi hostel lakini nimekwenda Kwa Putin for supper.
Niko pale na vitukuu vingi vya Putin.

To make this story short,I hope ndege ya Samia inavyorudi toka Luanda itatuwa salama.
 
Huyu jamaa kanitumia msg sasa hivi anasema nimpe laki tano aanzishe biashara.
Sina laki tano lakini nimemtumia hela ya chai.
Na huyu ndiye wa kwanza na wa mwisho.
I am not doing this again.
But you are right.
Nikikosa hela ya kumnunulia pipi chekechea najidikia vibaya sana.
 
Mwalimu hakua na foresight kwa hakika..yule mzee amelifelisha sanaa taifa kwa sera zake za ujamaa na siasa za kuogopa dola
Hasa kwenye kutuunganisha na mabazazi wa Zanzibar ambao sasa wabatutawala kwa kutusulubu, kutudhalilisha, kupora mali zetu na kutubagaza.
Majambazi yanayoongozwa na jambazi la kike la Kizimkazi.
 
Ume muona kwanza kaka ako uko angola au una zua taharuki
 
Nasikia huyu kiongozi mmoja Chama amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili.
Kwa hiyo nadhani inafaa tujadili kidogo kuhusu Sheria na Oganaizesheni katika Chama.
Lakini kabla ya kufanya hivyo kwanza tujadili Organization katika vyama vya uhalifu.
Mafia,Kwa mfano.
Mtu akiingia Mafia anafanya kiapo mbele ya sanamu ya Holy Mother( Mary).
Sijui kwa nini.
Labda Ina maana yeye akifanya ujambazi anatafuta hela ya kuwapelekea mademu.
Au Ina maana atajitahidi kufanya uhalifu wake bila kuwadhuru wanawake.
 
Kama kawaida ChatGPT anatafsiri ujumbe huu

""Ninasikia kwamba kiongozi mmoja wa chama tawala amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya bunge au chama kwa sababu ya makosa au mgogoro wa ndani. Hii inanifanya nifikiri kwamba ni vyema tukachunguze sheria na muundo wa uongozi wa chama hiki. Lakini kabla ya kufanya hivyo, hebu tuanze kwa kuangalia jinsi makundi ya kisiasa yanavyojipanga—yamefanana na makundi ya uhalifu, kama Mafia. Mtu anapojiunga na Mafia, hula kiapo kwa kuapa mbele ya sanamu takatifu (kama vile Mary). Hii ni ishara ya kujifanya kuwa na msingi wa kiroho au maadili, lakini kweli inafichua ukweli wa ndani. Huenda kiapo hicho kinamaanisha kwamba wakati wanapoiba au kufanya ufisadi, wanatafuta pesa za kujinufaisha binafsi au kuwafadhili wasaidizi wao. Au pengine inamaanisha kwamba wanajaribu kufanya ufisadi na ukandamizaji kwa namna isiyoonekana wazi.""
 
Kwa hiyo nikaota ndiyo nimekwenda kwa Putin for supper.
Vitukuu wake wapo pale.
Nilikuwa nimevaa suti approaching the dinner table.

Nimealikwa ndiyo, lakini nilikuwa sina hakika kwamba nimealikwa for supper and I wondered if I was overreaching myself.

Nilikuwa nimefikia kwenye hostel sasa naenda Kwa Putin.

Putin ananiambia," One thing I have noticed,wewe Andrew, una suruali mbili tu. Sasa,you know what I will do? Nitafunga mashine ya solar hapa,halafu ukifika,unaweza kuifua Ile nguo yako moja,halafu wakati inakauka utavaa Ile nyingine."
Namwaambia hii mashine kwa nini usiifunge kule kwenye hosteli.
Anasema,ah,kule kwenye hosteli tumekuweka tu, lakini we don't own that place.

Halafu ananialika chakula,kimepikwa, lakini anakuwa a bit embarrassed,kwa sababu it is a little bit poor quality,that food.

Kwa hiyo it means Putin anaangaza huku na huko duniani kutafuta resources for his country.

Crazy dreams. Dreams are indeed illusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…