Mwalimu nyerere memorial academy

Lucky sane

Member
Jul 6, 2020
7
4
Wakuu naombeni msaada kwa aliyepata joining instruction ya mwalimu nyerere memorial academy kwa kozi za diploma maana nimetafuta nimekosa
 
Mkuu ingia tu mtandaoni check kwenye tovuti yao mbona vitu vipo mubashara kabisa!
 
Back
Top Bottom