Amesahau kuchukua cheti original cha form four na kinahitajika kwaajili ya usajili

Annie john

Member
Oct 2, 2021
38
31
Hello wanaJF

Sorry nina mdogo wangu alifaulu chuo cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni Dar es Salaam. Mdogo wangu huyo alikuja Bukoba likizo baada ya kumaliza field ndani ya mwezi September..

Akajiandaa na kurudi chuo. Kwa kuwa vyuo havijafunguliwa akafikia kwa ndugu anasubiri kureport baada ya week moja. Yeye Amemaliza mwaka wa kwanza anatakiwa kuendelea na mwaka wa pili..!! Anadai usajili hauwezi kamilika mpaka awe na cheti original. Nilienda shule aliyomalizia ipo huku Bukoba nikaambiwa cheti original hawawezi kukitoa mpaka mhusika

Wakadai kwa kunisaidia may be tuscan tumtumie. Mdogo wangu mimewasiliana naye anasema cheti wanachotaka wao ni original sio scanned. Sasa inatuwia ugumu kumlipia nauli aje kuchukua cheti na arudi tena Dar.

Kwa haraka nauli ya sasa ni 80k bado kula njiani na pesa ya makato plus nauli ya kurudia 80k na pesa ya chakula na makato kwa haraka atleast tupate 220000.

Ambayo kwa sasa ni ngumu coz anatakiwa ada na mahitaji mengine. Kwa wenyeji wa Mwalimu Nyerere memorial naombeni msaada kwa case kama hii tunaweza isolve vipi.
 
Ongea vizuri na wakulungwa wa hapo shule vizuri.
Tanzania hakuna linaloshindikana ukifungua kinywa na mkono.

Nusu ya pesa ambayo mngetumia kwa ajili ya safari inatosha kubadili mawazo ya muhusika hapo shule.
 
Ongea na wakulungwa wa hapo shule vizuri.
Tanzania hakuna linaloshindikana ukifungua kinywa na mkono.

Nusu ya pesa mngetumia kwa ajili ya safari inatosha kubadili mawazo ya muhusika hapo shule.
Oooh sauwaa asante kwa ushaur.
 
Hello wana jf

Sorry na mdg ang alifaul chuo cha Mwalim nyerere kilichopo kigamboni Dar es Salaam. Mdg ang huyo alikuja bukoba likizo baada ya kumaliza field ndani ya mwez September..

Akajiandaa na kurud chuo. Kwa kua vyuo havijafunguliwa aka fikia kwa ndug anasubili kureport baada ya week moja. Yeye Amemaliza mwaka wa kwanza anatakiwa kuendelea na mwaka wa pili..!! Anadai usajil hauwez kamilika mpk awe na chet original. Nilienda shule alo malizia ipo hiku bukoba. Nkaambiwa chet original Hawawez kukitoa mpk mhusika

Wakadai kwa kunisaidia may be tuscan tumtumie. Mdg ang mewasiliana nae anasema chet wanachotak wao ni original sio scanned. Sasa inatuwia ugum kumlipia naul aje kuchukua chet na arud tena Dar.

Kwa haraka naul ya sasa ni 80k bado kula njian na pesa ya makato plus naul ya kurudia 80k na pesa ya chakul na makato kwa harak atleast tupate 220000.

Ambayo kwa sasa ni ngum coz anatakiwa ada na mahitaji mengine. Kwa wenyej wa mwalim nyerere memorial.

Naomben msaada kwa case kama hii tunaweza isolve vip !!
Tuma kwa basi au registered mail(ems). Ingawa hujatueleza ni cheti kipi kinahusika.
 
Tafuta mwanasheria ule kiapo na uende naye shule amsainishe na mtoa cheti naamini utaaminiwa kuchukua haitazidi 50k
 
Tafuta mwalimu mwenye influence hapo shuleni...mpe 50k akupatie hicho cheti.
Muhusika angekua Europe au Asia wangeleta hizo sababu.?!
 
Tafuta mwanasheria ule kiapo na uende naye shule amsainishe na mtoa cheti naamini utaaminiwa kuchukua haitazidi 50k
Kama ingekua ni rahisi si watu wangechukua vyetu vya watu bila ridhaa yao. Ingekua result slip kweli ila sio cheti. Na akienda kufuata cheti asisahau leaving certificate.
 
Cheti cha form four
Sorry nilifikiri cheti kiko nyumbani, kumbe hajachukua shule. Itabidi mjaribu kuongea na hicho chuo vinginevyo mtafute tu hiyo hela ya nauli. Inaudhi lakini shule haitatoa hadi mwenyewe akachukue.
 
Ooooh yeah..!! Kipo shule at sio nyumbn
 
Back
Top Bottom