Mwalimu na Juma

Mwalimu na Juma

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
1,625
Reaction score
1,454
Muda wa kutoka shuleni umewadia mwalimu akawaambia wanafunzi wake
Mwalimu : Atakayejibu swali langu kwa usahihi ndio ataenda nyumbani leo
Juma kuona hivyo akatupa begi lake nje ya dirisha:
Mwalimu : Nani katupa begi nje ?
Juma : akajibu haraka, ni mimi mwalimu, halafu huyo akafungua mlango na kuondoka zake kwenda kwao.
 
Inaonyesha ni jinsi gan Juma ni mvivu wa kusoma, Tr. angeuliza swali gumu ili wakose wote waendelee na masomo ya ziada.
 
Back
Top Bottom